Naomba msaada jinsi ya kumtongoza rafiki wa dada angu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada jinsi ya kumtongoza rafiki wa dada angu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by smati, Feb 20, 2011.

 1. smati

  smati Senior Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba msaada.

  Imetokea nimempenda rafiki wa dada angu, lakini kila nikijaribu kulianziasha naona ngoma haiendi.

  Naomba nipeni mistari ya kuanzia.:
   
 2. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mtumie sista wako atakusaidia sana.
   
 3. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe humpendi ndo mana,unajua ungekua wa mana kama ungeleta hapa angalau ulipofikia,sasa wewe hali ya kua kaka na dada hata hujaivunja wataka ushauriwe,unafikiri utashauriwa kipi?mana hata juhudi za kumpata hujazionyesha.bt let us see wadau wanasemaje.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mwambie hivi....
  Arooo dada, moyo wangu umekudondokea.
  Naomba tuchanganye mate na tubambanishe makojoleo.
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mi nikikwambia hayo utanikubali ? :wink2:
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Uwiiii.... Mbavu zangu Husninyo! Nimeipenda hiyo, nahisi next time nitaitumia kwako!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ha ha ha!
  We mi nakupa maujanja halafu uyatumie kwangu.
  Sitaki bwana.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  wewe nitakufundishe nyingine maana hiyo itakuwa skrepa.
   
 9. smati

  smati Senior Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tatizo si kutongoza tuu, kuna urafiki kati ya dadaangu na yeye. Nikisha mpata linaweza kuwa bifu kati yangu na my sister kwani ni rafiki yake kipenzi, ni kama nimemnyanganya, kwa kutumia nafasi ya kumwona mwona nyumbani.
   
 10. LD

  LD JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe kwa nini unataka kumtongoza??
  Ni nini malengo yako??
  Au ni tamaa tu??

  Kama nitamaa zinakutuma ufanye hivo, Ushindwe na ulegee!!! Sio kila unachokiona unakitaka, kwa hiyo dada zako wasije na rafiki zako kwa sababu ya mitamaa yako?? Wewe kaka mubayaaaAaaaaaaAaaaaaaAaaaa!!!!!
   
 11. smati

  smati Senior Member

  #11
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .

  Ninapo sema kutongoza sina maana ya tamaa mbaya. Binti mwenyewe ananizimia, na lengo si kura uroda halafu ni mwache lengo ni kutaka uhusiano wa kweli. lakini hata kama binti anaonyesha njia, siwezi baki domo zege, atanikimbia.

  Ofcourse tumefikia hatua nzuri, nilicho kipenda ni msiri sana , hata dadangu hajui.

  kwa hiyo sio tamaa, na sio rafiki wote wa dada angu nawamind , no huyo tu ndoo maembe yamemdondokea bila kutikiswa.
   
 12. LD

  LD JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nakubali sio tamaa mbaya!!
  Ni kwa malengo gani unamtongozea??
   
 13. smati

  smati Senior Member

  #13
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda neno kutongoza ndio limekaa ovyo, lengo ni kutaka kukuza urafiki ili baadaye tuje kuwa wachumba, na baadaye tena tuje kuoana, na baadaye tuwe tunatongozana kila sa na kila siku etc, . upo hapo LD.
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,820
  Trophy Points: 280

  Hahahahahahaha we mtundu kweli LOL! Kwa lugha kama hii hampati ng'o huyo mdada.... anaweza pia akakata mguu wa kwenda kwa rafiki yake

   
 15. LD

  LD JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo nipo!! Sasa umejuaje kama mtaweza kufikia huko kwenye uchumba, kuona nk nk nk tena??
   
 16. smati

  smati Senior Member

  #16
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dalili za mvua ni mawingu, huwa napiga naye story za maisha lakini kinacho nipa matumaini ni mitego yake, ya hapa na pale. Japo hutuja wah sungumzia mabo yoyote ya uhusiano. Ninafikilia kuwa nikimpigisha sana story na kuwa naye karibu siku tutakuwa wachumba hata bila kuambizana. Halafu anapenda nimpigie simu kuanzia saa tano usiku, japo si kigezo lakini mmmmm??. Halafu mara ananiuliza nitaoa lini?? etc, we LD nipe technique nzuri nimnase mapema..
   
 17. LD

  LD JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nieleweshe hapo kwenye mitego!! Anakutega ili mfike kwenye ndoa? Au anakutega kuonesha tamaa yake kwako halafu baada ya muda mtatimiza tamaa yenu halafu habari inakwisha? Nisamehe kwa kuwa kama kamanda KOVA kwa maswali yangu?
   
 18. smati

  smati Senior Member

  #18
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mitego ya kawaida tuu, kujui my position, etc.Ila dada mwenyewe ni very smati, I love her. Na mimi pia si unanioa nilivyo smati (lol). Mwanamke akikupenda usidharau!!!!.

  Unajua mimi ni mjasilia mali, juzi nikamwambia nataka tuanzishe kampuni, na viongozi ni mimi na yeye, alicheka hadi ati majirani wakahtuka huyu anacheka nini??,naona Aligundua kuwa naingiza maada kijasilia mali.
   
 19. LD

  LD JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kweli naweza kukuona kwa mbaliiii kama we ni smart!! Mi nakutakia kila heri, Mungu akutangulie akuepushie tamaa mbaya na hila za adui!! Atimize nia yako njema kwa huyo dada. Usisahau kunialika kwenye harusi yenu. God loves you!!
   
 20. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ukimpata utupe taarifa na njia uliyotumia utuambie!
   
Loading...