Fungua redio hiyo device ukiwa hujaichomoa,,,,,,,,,,search redio ya kawaida katika redio yako may be 88.5 FM. Ingiza hiyo device katika sehemu hiyo ya kuwashia sigara, hakikisha nayo unaiseti frequency zake sawa na hizo za redio yaani 88.5. Hapo utapata muziki bila shida kutoka katika device yako.....