Naomba msaada jinsi ya ku connect MP3 na radio ya gari

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,016
2,000
Wana janvi

Naomba msaada nina MP3/mp4 nimeiweka sehem ambayo wengi wavuta sigara huwa wanatumia kuwashia sigara ile port, sasa nashindwa jinsi ya ku connect na radio ya ndani ya gari ili nikiiwasha mp3/mp4 sauti isikike kwenye speaker za gari ambazo zimeunganishwa na radio yake.

shukrani
 
mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,907
2,000
Hilo tu unashindwa unaweza kuliendesha kweli?

Any way hakikisha namba za bend za fm zinaendana na za mp3
Sogeza mbele au nyumba hadi ziendane kama ni 99.5 kwenye radio ya gari na ya kwenye mp3 iwe hivyo

Uanze kuweka ya kwenye gari na uweke namba ambayo haina radio , I mean mahali ambapo radio ya gari haiongei,

Nb: ulisahau kuangalia oil ya gari na maji , ukishaangalia funika inavyopaswa.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,391

Fungua redio hiyo device ukiwa hujaichomoa,,,,,,,,,,search redio ya kawaida katika redio yako may be 88.5 FM. Ingiza hiyo device katika sehemu hiyo ya kuwashia sigara, hakikisha nayo unaiseti frequency zake sawa na hizo za redio yaani 88.5. Hapo utapata muziki bila shida kutoka katika device yako.....
 
Hahahaaah wewe jamaa,,,,,,,,,!!! Atakuwa dereva mpya, taratibu ataelewa, si kila mtu anajua kila kitu......nami nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa hivi, niliuliza kama huyu jamaa japo mimi niliuliza dukani niliponunua hiyo MP3 player.
 
mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,907
2,000
Hahahaaah wewe jamaa,,,,,,,,,!!! Atakuwa dereva mpya, taratibu ataelewa, si kila mtu anajua kila kitu......nami nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa hivi, niliuliza kama huyu jamaa japo mimi niliuliza dukani niliponunua hiyo MP3 player.
Ndio mkuu nimekumbuka baadaye ndo maana nikampa na elimu nyingine
 
Nov 11, 2010
77
125
Mimi pia ninachangamoto na radio ya kijapan frequency zinaanzia 76HZ mpaka 90HZ nimejaribu kuchomeka kicheza mp3 nikiweka frash haichezi wakati frequency zinafanana 88.5HZ
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,115
2,000
Fungua redio hiyo device ukiwa hujaichomoa,,,,,,,,,,search redio ya kawaida katika redio yako may be 88.5 FM. Ingiza hiyo device katika sehemu hiyo ya kuwashia sigara, hakikisha nayo unaiseti frequency zake sawa na hizo za redio yaani 88.5. Hapo utapata muziki bila shida kutoka katika device yako.....
88.5 ni Clouds FM. Mimi naipata kwenye 88.8 FM
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom