Naomba Mnishauri nilime zao gani

Huu pia ushauri mzuri kama ana nafasi lakini kwanini usimshauri apeleke mchele au maharage hizi mali kuoza hiz
Mkuu hii ni biashara ya msimu na msimu wake ndo sasa.mzunguko wa karoti lazima uuze mkuu karoti hailali sokoni hapo sasa kabla hajachukua mzigo lazima ajue mzigo utakao ingia sokoni uzuri wa biashara ya mazao kwa tanzania hakuna vificho kama fuso linapakia shambani unaona na wenyeji wanaconnection zote hizooo
 
Mkubwa nitaenda kucheki Ilala sokoni alaf naweza kukucheki pm msimu vipi lakini unaisha lini yani mwezi wa ngapi
 
Muheshimiwa tunajaribu kujadili vitu serious hapa hizi bangi zako kamshauri mama ako
Wee haupo sirious kabisa acha wakudanganye ulete mrejesho hapa
Bangi ndo kila kitu mkuu
Ukiweka na miraa katikati utalima mara 2 tu ushakuwa tajiri
Usilime
mahindi
Maharage
Mchele
Mboga n.k
Watakudanganya hapaaaaaaa
Bangiiiii + miraaa
 
Basi sawa
 
Milion 3 nyingi sanaa mkuu kama upo mbeya fanya hivi
Chukua laki tano nenda uyole uliza karoti zinapotoka watakuelekeza shamban wanauza 35000 hadi 37000 nampka uifikishe ilala sokoni ni 60000 mpka 65000.hukosi faida hapo na gharama ya usafiri kwa kiroba cha karoti haizidi 17000 mkuu.kuliko ukalime na kusubiri mavuno weka hela kwenye vitu unavyoviona tayari.
Hii biashara ya kusafirisha mazao pia nimewahi kuifikiria ndugu @shangoo, nadhani yafwatayo ni mambo muhimu kwa biashara hii, ingawa naomba kuongezewa mengine;

1. Kujua nizao gani linauzika kwaurahisi na bei ipo juu kwa msimu husika.

2. Kua na watu unaofahamiana nao maeneo unayopeleka mzigo mf: dsm, pia maeneo unakochukua mzigo (kwa wakulima).

3. Kujua ubora wa zao husika unaohitajika sana sokoni.

Naomba kuongezewa mahitaji mengine muhimu kwa biashara hii yakusafirisha mazao.

Pili naomba kufahamu, ukipeleka mzigo kwamfano dsm, fuso imeshafika pale..unauza gunia mojamoja hadi gunia zote ziishe..., au unashusha zote nakuzihifadhi store (store ya nani?) au inakuaje hapo...

Pia naomba kufahamu changamoto zilizopo katika biashara hii ya Usafirishaji wa mazao.

Nawasilisha
 
Mr.Brown kama mfuko una ruhusu sogea kapunga rice uwahi block yako mapema kilimo ni cha uhakika ila kama una mtaji huo uliosema hapo juu aanza kidogo na eka 5 mpaka 8 za mahindi tumia mbegu za kisasa piga mbolea ya kutosha kisha muombe sana Mungu alaf utuletee mrejesho na experience yako, mimi pia mwakani nitasonga kwenye mahindi nikivuna nitakuja tena kumwaga experince yangu sitaacha kufanya hivyo.
Shoukran ndugu Varius..

Inaonesha kwenye hizo schemes au estates kunahitaji mtaji mkubwa sana .., hii huchangiwa na nini hasa?

Pia nashukuru kwa kunitajia bei za mahindi na mpunga kwa debe...
Vipi kuhusu kwa gunia mkuu, ni around Tsh ngapi.

Pia nilikua nashauri tuendelee kufuatilia ni maeneo gani wanafanya kilimo cha umwagiliaji ili kujiongezea uhakika wa mavuno.
 
Mkuu hayo majibu yote ya kipengele cha 1-3 yanajibika sokoni.ulimwengu wa sasa mkuu connection ni gharama ukishapewa mwanga wa kitu unajiongeza,nenda sokoni ongea na yeyote yule unayemwona anauza zao unalolitaka utapata pakuanzia ila kukuaa na mtaji wako unataka upewe A- Z ni ngumu mkuu tena humu JF!
 
Mr.Brown kama mfuko una ruhusu sogea kapunga rice uwahi block yako mapema kilimo ni cha uhakika ila kama una mtaji huo uliosema hapo juu aanza kidogo na eka 5 mpaka 8 za mahindi tumia mbegu za kisasa piga mbolea ya kutosha kisha muombe sana Mungu alaf utuletee mrejesho na experience yako, mimi pia mwakani nitasonga kwenye mahindi nikivuna nitakuja tena kumwaga experince yangu sitaacha kufanya hivyo.
Mkuu hivi hiyo kapunga rice kuna utaratibu gani? Maana naona hata masanja analima huko.Tupe intro kidogo
 
Shoukran ndugu Varius..

Inaonesha kwenye hizo schemes au estates kunahitaji mtaji mkubwa sana .., hii huchangiwa na nini hasa?

Pia nashukuru kwa kunitajia bei za mahindi na mpunga kwa debe...
Vipi kuhusu kwa gunia mkuu, ni around Tsh ngapi.

Pia nilikua nashauri tuendelee kufuatilia ni maeneo gani wanafanya kilimo cha umwagiliaji ili kujiongezea uhakika wa mavuno.
Mr Brown nakupa zoezi dogo tu kama kweli unataka kufanya kilimo. Kapunga si mbali na Mbeya mjini wikiendi hii fanya hima ufike huko kisha uende na maeneo mengine ambayo wanalima kwa kutegemea mvua tofauti kubwa utaiona vilevile utajifunza mawili matatu. Gunia inategemea, kuna magunia ya debe 6 debe 7 debe 8 debe 9 na debe 10. Mfano kwa Mbeya mara nyingi huwa wanatumia debe 6, dodoma debe 6,7 na 8 na Morogoro huwa wanaweka katika debe 6 hadi debe 10 kutokea hapo piga hesabu debe huwa ni kama kilo 18 mpaka 20 kutokana na mahindi yenyewe
 
Mkuu hivi hiyo kapunga rice kuna utaratibu gani? Maana naona hata masanja analima huko.Tupe intro kidogo
Kama upo serious fika kwa mguu kule ukawahi block, competition ni kubwa sana nilikuwa na jamaa yangu mmoja tulishaga fika nae hapo tukakosa kabisa shamba utaratibu nilioambiwa pale kuna wa aina mbili, unakodi unahudumia gharama mwanzo mwisho 100 percent, na utaratibu mwingine ni ubia fulani hivi unaingia na kampuni kisha baada ya mavuno kuna kugawana magunia.
 
Mimi nalima mpunga kilimo cha umwagiliaji huku kwenye mashamba ya mwekezaji ya 'mbarali highlands estates' wilaya ya mbarali. Kilimo cha huku ni cha uhakika sana kuvuna ingawa kina gharama sana na inahitaji uangalizi wa karibu mno sio kulimia kwenye simu. Huku tunakodi tsh 275000/ kwa kila ekari na hapo unakuta shamba tayar limelimwa(limekatuliwa). Huku tunatumia sana mbolea na bila mbolea hupati kitu. Kwa hiyo mill 3 kwa huku unaweza kulima ekari 3 tu mkuu. Na hiyo ni nje ya hela ya kukodia. Ukilihudumia shamba vizuri kwa usimamizi mzuri kuanzia wakati wa kuandaa mbegu, kupanda (hapa muhimu sana), mbolea(muhimu sana), na kulinda ndege hadi kuvuna! Kwa kila ekari unaweza kupata gunia kuanzia 22_25. Ili kulima kitajiri na kila kitendo kufanywa kwa wakat sahihi basi kila ekari moja utatumia mill 1 maximum. Wasimamizi wapo wanapatikana kikubwa umpate anaeijua kazi ya kusimamia mpunga hasa ambaye hasubiri umwambie kitu, malipo ni makubaliano ingawa wengi wanapendelea kulipana kwa msimu na bei hutegemea ukubwa wa shamba. Kwa ekari 5 msimamizi wanarange kati ya laki 3_4 ila sana sana ni makubaliano. Soko LA mpunga lipo LA uhakika tu kikubwa ni uvumilivu tu wa kulisubiria soko lipande, miaka ya nyuma wakat wa mavuno kuna kipind bei hushuka adi hufikia tsh 50000 kwa gunia ila sasa iv I mean mwaka huu imefikia tsh 110000 na watu wanaendelea kuvuna ingawa bado hawajachanganya. Sasa iv wanavuna wale waliowahi kupanda tu. Wengine tunahesabu hadi kufikia mwezi wa sita katikati tuvune. Changamoto huku ipo kwenye upatikanaji wa mashamba tu. Wapo wale ambao wanakosa mashamba lakin wananunua kwa wale waliopata, that mtu kapata shamba ila uwezo wa kulilima hana au anapumzika kulima basi wew unalilinua kwake kwa kumpa hela ya kukodishia na 'cha juu', let say utampa ile 275000 ya kukodia shamba na kwa kila ekari unampa laki moja nyingine. Karibu Mbarali mkuu tulime.
 
110000 gunia la debe ngapi mkuu
 
Asante kwa mwongozo,kwa kawaida huko mbalali maandalizi huanza mwezi wa ngapi? Kupanda ni mwezi wa ngapi? Huchukua mda gani mpaka kuvuna
 
Maandalizi huku, mwezi wa Tisa au kumi ndo huwa tunaanza kufatilia mashamba ili kuweza kujua upo pale pale ulipolima msimu uliopita or umehamishiwa kwengine or umenyang'anywa shamba or umeongezewa au kupunguziwa eneo, lakin shughuli za kuanza kuandaa kitalu cha mbegu huanza tu anapotoa tarehe ya kuanza kufungulia maji kwa ajili ya mbegu. Kupanda sana sana tunaanza wa mwezi wa kwanza maana huku kila ktu kinaenda kwa kuangalia ratiba ya maji. Mpunga ni miez sita hadi kuvuna
 
Asante mkuu Mungu akubariki,ngoja tuzichange hapa tuone tunaanzaje maana hizi ajira imeshakua shida inabidi kujituma kivingine kabisa
 
asante mkubwa iyo laki na 10 ni bei ya miezi gani kama vp nipatie bei ya mavuno mwaka jana ilikuaje
Haijawahi kutokea wakati wa mavuno bei kufika 110000/ ndo mwaka huu. Hiyo bei tuliizoea mwezi wa pili hadi watatu, mwaka Jana ilikomea 120000 lakin haikudumu sana ikashuka 100000_90000(ukiwa na mzigo mchache). Nna uhakika uvunaji ukichanganya inaweza ikashuka hadi 90000 kitu ambacho hakikuwa kawaida mana tulizoea wakat wa mavuno ni 50_55000
 
Back
Top Bottom