Naomba mnisaidie wingi wa Maneno haya

Naomba mnisaidie wingi wa Maneno haya

Kwanza ulimwengu ni mmoja tu so hauna wingi. Hakuna ulimwengu zaidi ya mmoja.
Pili
Uchumi wingi wake ni CHUMI.
MFANO. Uchumi wa nchi yetu unakuwa maradufu ukilinganisha na chumi za nchi nyingine Africa Mashariki
 
Back
Top Bottom