Naomba mnisaidie microsoft office yoyote nzuri

mkuu opp a3s inaenda bei gani
Mkuu hii nilinunua mpya kwa 420K ...
Kuna jamaa alikuwa anatokea kenya nikaagiza tangia 2018 mwezi wa 11 mpaka sasa sijawahi kurestore wala kupata tatizo lolote ..naishi maisha mazuri [emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Oppo A3s
 
Pakua usiku kuanzia saa 6 kamili kwa Halotel unlimited internet kwa shilingi 1,500/= mchana hautaweza.
Halotel kwa Mwadui yetu hamna kitu , wala nafuu Airtel ila network yake so nzuri sana ..
Humu mwadui tunatamba na Tigo and Vodacom ambapo Carrier tunapata mpaka 4g+

Sent using Oppo A3s
 
Nafaka nakuletea hii hapa uitizame nawe iko njema sana ni Realme ..
Ukiipenda nitafute ntakuuzia nilimnunulia wife wangu but yy na smartphone anakwambia hazipandi..
IMG20200511172251.jpg
IMG20200511172502.jpg
IMG20200511172405.jpg

Sent using Oppo A3s
 
Hiyo itakuwa ofice 2007 maana ndiyo ina mb hizo ila iko so outdated ila nzuri na simple
Ukiona office imevuka 1gb ukubwa ujue wamecombine file zote za 32bit na 64bit pamoja, hivyo unakuwa na setup mbili ndani. Pia nyengine zinakuwa kubwa ikiwa ni enterprise ama pro version.
 
Kwanini hii nyingine ina 9GB
Halafu kuna thread nilitamani kuona comment yako sikuuona
 
Ingia piratebay.

Nenda sehemu ya search andika hiyo prog unayotaka.

Tiki application.

Search.

Zitakuja mpaka Office za 200MB ambazo hua ni portable.

sure, GB 9 is too much
 
Unasoma description unaweza kuta ni home/pro/enterprise 32bit na 64bit pamoja, link ya 9gb ipo wapi?
Ni enterprise, Nilikuwa nasubiri comment yako kwenye thread ya jamaa aliandika katengeneza aprogramming language yake
 
Mkuu Chief-Mkwawa Office 2019 yenyewe kama yenyewe ukiipakua kutoka torrrents au getintopc.com it's around 9GB and above ila ambayo iko embedded na windows 10 (windows 10 with Office 2019 included) it's around 4GB - 5GB all together. How possible?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio developer mkuu, ila ki theory inawezekana japo reality ni ndogo hasa upande wa budget na manpower kutengeneza kitu kitakachokubalika duniani si kazi ya kitoto.
 
Nilikuwa nasubiri comment yako nikaona hamjacomment wewe na yule naye ni developer anaitwa sijui graph
 
Mkuu Chief-Mkwawa Office 2019 yenyewe kama yenyewe ukiipakua kutoka torrrents au getintopc.com it's around 9GB and above ila ambayo iko embedded na windows 10 (windows 10 with Office 2019 included) it's around 4GB - 5GB all together. How possible?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu nyingi na possibility nyingi, mfano unaweza kuta file lina GB 9 ila lugha zaidi ya 100, na file jengine hilo hilo gb 2 na lugha chache, sababu nyengine ni hizo nilizotoa juuu unakuta 32bit na 64bit zinachanganywa, ama kuna Additional software za enterprise etc.

Ungeeka link ingekuwa vyema.

Na windows inaweza kuitwa windows 10 na office na ndani isiwemo office bali online installer, ukisha install na kuweka internet on ndio inadownload office husika.

Possibility nyengine ni compression, ile windows inaandika 4.5gb ila ukimaliza kuinstall inachukua gb zaidi ya 10, sometime inafika 20 na zaidi.
 
Mkuu naomba unisaidie namna ya kufanya activation kwa window 10 Pro N bila kuwa na product key maana nimetumia CMD ila nimefail .. kama kuna setup naomba unisaidie Chief-Mkwawa.

Sent using Oppo A3s
 
Back
Top Bottom