Kawaida hiyo mzee, andaa bundle la uhakika
Pakua usiku kuanzia saa 6 kamili kwa Halotel unlimited internet kwa shilingi 1,500/= mchana hautaweza.
mkuu opp a3s inaenda bei gani
inatosha sana maana karibia mitandao yote ina kifurushi cha gb3 kwa 3000
Jaribu hii, sijatest lakini around mb 200 portable
unadownload office 360 ya mwaka huu au si udownload office nyingne tu
http://51.68.180.234/Getintopc.com/...md5=_x0AyHgZ4d-GurmRTt_QUQ&expires=1592052804
Ukimaliza una activate na kmspico ila unaweza itumia bila kuactivate