Naomba mnisaidie kuhusu hili

Naomba mnisaidie kuhusu hili

Kwa dunia ilivyo saivi, testing is all I can advise. Huwezi kusubiri wakati mtu unayesubiria alishachezea milupo ya kutosha. I'd rather test "kina" cha maji nijue pakoje.

Mambo ya kusubiri yalikuwepo zamani huko, watu walikuwa waaminifu, leo hii waweza sibiri mwanaume/mwanamke aliyetembea na watu kumi kabla, sijui hapo unachosubiri ni kitu gani haswa.
Mbona nasikia kuna wengine wanavumilia mpaka ndoa au ndo tunadanganyana wasichana
 
Niliwaacha wadada wa masharti ya hivo na hadi leo hii wanagongwa mbolo kama hawana akili nzuri ,wengi wao hawajaolewa na wengine wameishia kuzalishwa hadi wana mimba ya mtoto wa pili na tatu wa mbolo fupi, nene ,nyembamba na ndefu. Ni muhimu kujua
Hahahahahahaaaaa my ribs
 
Kwa huuu ulimwengu wa .com hiyo kitu haiwezekani aisee..hasa linapokuja swala la uzazi watoto wa kike wengi siku hizi wanachoropoa mimba mpaka basi sasa bila kutest kama ana uwezo wa kuzaa si itakuwa kama kuuziwa mbuzi kwenye gunia..mimi nilianza process za kutoa mahali bada ya kuona mtu ameanza kutematema mate na Kula embe mbichi....
 
Ndo maana siku hizi wasichana wengi wanaolewa wakiwa na mimba......okay
 
Back
Top Bottom