Naomba mnisaidie kuhusu hili

Naomba mnisaidie kuhusu hili

Hapo kwenye kutolewa utepe sijui ni ngumu kwa kuwa nayo kwa kweli........kwahiyo unamaanisha ni vigumu kwa mwanaume kuvumila muda wote huo
Namaanisha hivi:,- yaan mwanamke awe ashafanywa fanywa hapo awali kwangu aje aseme tusubili hadi ndoa??? How comes???....naweza kubali kama yuko sealed otherwise hapana kwakwel
 
Hapana,wapo wanaoweza kutumiza ahadi zao lakini siwengi kihivyo.(walio wengi wanacheza rafu )

Kama mahusiano yenu mumeyawake katika hali ya uwazi na ukweli kwa kila jambo hili la hadi ndoa linawezekana,

Sasa hebu jiulize kizazi hiki kweli Kuna umanifu na uwazi katika mahusiano....?
Kiuhalisia ni ngumu sana ila nilishangaa kuna mtu aliniambia rafiki yake anaolewa bila kufanya hiyo kitu
 
Namaanisha hivi:,- yaan mwanamke awe ashafanywa fanywa hapo awali kwangu aje aseme tusubili hadi ndoa??? How comes???....naweza kubali kama yuko sealed otherwise hapana kwakwel
Mmmmmhhhh kazi ipo kwa sisi wadada
 
Naweza 100% tena bila hofu yyte kwnn watu wanashindwa kufikia hatua ya kuoana kutokana na dhambi ya uzinzi imetujaa na tamaa za kimwili na ndio maana watu wengi wanashindwa kufikia malengo ya kuoana kwa kutanguliza tamaa za kimwili.
 
Mbona kuna mtu aliniambia kuna rafiki yake anaolewa na mtu ambae hawajawahi hata siku moja kufanya nae hilo tendo? Au inawezekana amemficha ukweli
hakuna ukweli ktk hilo,,,,sio miaka hii ya dot com......
 
Kwa dunia ilivyo saivi, testing is all I can advise. Huwezi kusubiri wakati mtu unayesubiria alishachezea milupo ya kutosha. I'd rather test "kina" cha maji nijue pakoje.

Mambo ya kusubiri yalikuwepo zamani huko, watu walikuwa waaminifu, leo hii waweza sibiri mwanaume/mwanamke aliyetembea na watu kumi kabla, sijui hapo unachosubiri ni kitu gani haswa.
 
Niliwaacha wadada wa masharti ya hivo na hadi leo hii wanagongwa mbolo kama hawana akili nzuri ,wengi wao hawajaolewa na wengine wameishia kuzalishwa hadi wana mimba ya mtoto wa pili na tatu wa mbolo fupi, nene ,nyembamba na ndefu. Ni muhimu kujua
 
Back
Top Bottom