Naomba mnipe kazi, Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote

Oct 14, 2011
65
21
Habari za leo JF members,

Happy new year.

Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote nikimaanisha za kike na kiume. Nashona kwa ustadi wa hali ya juu.

Naombeni support yenu ndugu zangu kama ni kitenge au kitambaa.

Niko Dar Kinondoni, wa mkoa tuma vipimo.

Kuna wale ambao mko busy na kazi hamna muda wa kutoka, no problem nakufata ulipo.

Sina gharama bei ya kawaida

Suti, Kaunda, kitenge, les, vitambaa nashona.

Kupendeza raha asikwambie mtu

Karibu upate muonekano wa kisasa

Namba yngu 0783451512

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Tuma sample bidada tutakuungisha tu. JF ni kokoro, kuna kila aina ya watu humu so usikatishwe tamaa na maneno yetu, la muhimu kamilisha tangazo kwa kuambatanisha picha za baadhi za kazi zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom