Naomba mnijulishe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mnijulishe

Discussion in 'JF Doctor' started by luckyperc, Mar 26, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hili sawa la hedhi, mpenzi wangu alitakiwa aanze kublid tarehe 17 au 18, sasa kilichotokea hadi leo hajazipata siku zake, nikimuuliza unajisikiaje anadai hajihisi kitu chochote tumboni, je hili huwa linatokea kwa mwanamke kusogeza siku zake? Nikimwambia 2kacheki mimba anasema hajisikii kama anamimba.
  Help please.......!
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaaaaa dawa ni kupima tu sababu mwanamke anaweza kua na mimba lakini asigundue mapema kama ana mimba hapo dawa ni kupima tu na mkiikuta msiitoe maana hako ni kapresdent ka kesho!
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  help what now, kwani kama ana mimba ulitaka kuitoa? we uchune tu, kama kuna mimba utailea na mtoto atazaliwa utalea, kama hakuna kitu basi subiria tu kitu kitaanza kutoka muda si mrefu..au ulikuwa unataka gemu sasa unaogopa utakoroga kama kuna mimba michanga?hahaha. pole.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inaweza kutokea ila pimeni mimba!Wala huitaji kwenda popote kupima..pita pharmacy nunua pregnant test alafu mpelekee nyumbani mpime wenyewe!Ni kiasi cha kukojolea..maelezo zaidi yatakuwepo!Oh alafu inawezekana hataki kujua akiwa na wewe ili kama ipo akatoe bila wewe kujua so THINK!
   
 5. wende

  wende JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Swala la kusogeza siku za hedhi yeah lipo,lakini tafuteni kipimo cha mimba na mwaweza kufanyia home mtapata jibu tu.
  Kwa muda huo yeah mwanamke anaweza kuwa ameshika mimba na asisikie dalili yoyote ile. Pateni kipimo!
   
 6. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimewapatia wanajamvi, unajua ananiambia yeye anauwezo wa kujitambua kama anaujauzito, mchana nikamwambia twende pharmacy nikanunue cha kupima mimba ananiambia nisiwe na hofu. Nashindwa kumuelewa halafu siko tayari kumrusu akaitoe.
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Sorry for the late reply...umetoa siku amabazo ulitegemea aanze kupata menses (kubleed) ambazo hazisaidii sana. Ungetoa siku alipoanza bleeding kwa mara mwisho ingesaidia zaidi!

  Kuna vipimo vingi vya kupima mimba, kutmia damu au kutumia mkojo. Kipimo cha kawaida, kupatikana kirahisi na kinachotumika zaidi ni cha mkojo. Hiki huwa kinapima kiasi cha kichocheo (hormone) kinachoitwa hCG (human chorionic gonadotropin) kwenye mkojo, hormone hii hutolewa baada ya yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi.

  Test za mkojo (UPT) zinazopatika hapa kwetu Tanzania upima hormone hii, na ili kuweza kupatikana kiasi cha kutosha kwenye mkojo ili test iwe positive kwa uhakika inabidi zipite kama wiki 3 tangu tendo lifanyike, au wiki 2 tangu mwanamke akose siku zake. Unaweza ukapima sasa ikasema ni negative ukafurahia halafu baada ya miezi kadhaa dada wa watu anavimba!

  Subiri uone kama siku zimechelewa tu (huwa inatokea), zikifika wiki 2 na kuendelea then fanya kipimo cha mkojo cha mimba (UPT), kana ni negative na hatapata siku zake rudia baada ya wiki moja.
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo aache uongo mimba ya siku 10 hawezi kuhisi chochote,mpime mwenyewe huyo ana mpango wa kuua kiumbe chenu bila ya wewe kustukia.
   
 9. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yeye anakwenda siku 28, kwa mwezi uliopita ilikuwa tarehe 18/2/2011.
  mkuu hapo kwenye blue sijakusoma, yaani tokea nimelala nae au sijakusoma.
   
 10. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  'wiki 3 tangu tendo lifanyike' nina maana tangu siku ulipolala naye au siku unayodhani ulimtia mimba.

  Kama anaenda siku 28 ina maana siku zake za hatari zilikuwa kati ya tarehe 1/3/2011 mpaka 8/3/2011...kama uliingia bila kinga katika tarehe hizo andaa nepi(am joking), fanya UPT baada ya siku 3..ikiwa negative rudia baada ya wiki ! Kama hukuingia katika tarehe hizo, basi inaweza ikawa amechelewa tu! Ila kwa uhakika zaidi fanya uPT kama nilivyoelekeza hapo juu. Goodluck.
   
 11. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Mimi naona solution ya mwisho na yenye uhakika ni kwenda hospital
   
 12. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  i had the same idea!
   
 13. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni kama alivyosema lizzy,anataka apime akiwa alone ili akiikuta aitoe,since hauko tyr akaitoe! Thats fact mkuu.! Funguka
   
Loading...