Naomba mnijibu

Naomba mnijibu

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Je,ikitokea mungu anafuta ndoa zote duniani na kuagiza watu wachague upya wenzi wao,ni aslimia ngapi ya wanandoa watarudiana?
 
Mkuu Asubuhi Yote hii tenah!! Jumatatu ndiyo ubongo wako unafikiria hilo.."Tanzania nchi yangu"
 
Lengo lako ni nini haswa? Ungeishia kama ndoa zote zikifutwa hali itakuwaje?
 
Back
Top Bottom