Naomba mkopo wa tsh 20,000

1995_No_Ku_Fake

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2026
Posts
1,273
Reaction score
2,707
NAOMBA MKOPO WA TSH 20,000 πŸ™

Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wa mkopo wa TSh 20,000 kwa yeyote ambaye atakuwa na uwezo wa kunikopesha. Nina uhitaji wa haraka na nitajitahidi kurejesha ndani ya muda tutakaokubaliana.

Sio ombi la kuomba msaada wa bure, bali ni mkopo. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeguswa na kunisaidia katika kipindi hiki. Mwenyezi Mungu ambariki kila atakayejitokeza. πŸ™
 
Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.

Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.

Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
 
Si ukakope microfinance
 
Dada NI UKWELI Ila Naomba Mwenye Nayo Nisaidie Tafadhali naomba Tafadhali Changamoto Zangu Muumba Mbingu na ardhi Anajua nitarejesha Fadhila
 
Wadada mna huruma sana msaidie mwamba aisee.
 
Mtu kuwa na shida sio sababu ya kushindwa kulinda mgongo bwana wee
 
Kwani mleta mada ametaja jinsia ambayo ndio anataka imsaidie?

Wewe unamchango gani kwa mleta mada baada ya kuandika hayo malalamiko?
 
From no where, hatujuani.... tunatumia majina fake (anonymity) , nikupe mkopo tukubaliane urejeshe ? Hivi tunajizima akili kiasi hicho ? aisee

Subiri utumiwe, na atakayekutumia just amekupa tu hapa hakuna makubaliano yoyote yale ya kurejesha
 
From no where, hatujuani.... tunatumia majina fake (anonymity) , nikupe mkopo tukubaliane urejeshe ? Hivi tunajizima akili kiasi hicho ? aisee

Subiri utumiwe, na atakayekutumia just amekupa tu hapa hakuna makubaliano yoyote yale ya kurejesha
Kaka hata wewe unaweza NI help nimeomba kwa heshima Sana naomba
 
Kuna Apps za mikopo nyingi tuu.
 
ombaomba life255
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…