Mama Mzungu
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 215
- 368
Habari za mchana wanajamii,
Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.
Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.
Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.
Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.
Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali
Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.
Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
Nimejaribu kupitia maoni yako toka juu nika conclude we ni single mother, ushaachika hivi vitu viwili vinakufanya unakuwa na inferiority complex ndo maana naona unatumia misamiati ya ndoa, heshima, single mama na blah blah kibao ifikie kipindi mjikubali wenyeweHahahahah bomu hilo
Ila ndio uwaifu matirio jikaze usiachike usije ukaitwa singo maza na matusi kedekede wenyewe wanasema ndoa inawaletea wanawake heshima,hata Kama hutunzwi wewe hudumia family pamoja na yeye na umpe mapenzi kama yoteee,nacheka kifilipino
Mimi siwezi kwakweli, nitakuvumilia kwa muda ila ubahili na uchoyo ukizidi nakupiga chini faster, mwanume anatoka asubuhi anarudi usiku hajaacha hata mia, huko njiani hata machungwa ya buku hayahoni, akifika anataka msosi...hiiiiiii bebeshikwakweli wakati wa uchumba alikuwa na hali ngumu kimaisha so alikuwa hatoi kitu, mi nikachukulia poa tu, nikahisi vile hana ndo maana hatoi, ila kwa sasa pesa anayo
Kweli kabisa, ogopa mwanaume bahili, hawezi hata kutoa hela ya pediHahahahah kalivagaa mariooo likamwoa akaona kapataa,kumbe kapatikana
Wanawake na mabinti acheni kulea Mario's mtu asiyekuhudumia toka uchuma akikuweka ndani utajihudumia wewe,yeye na watoto kwa kigezo Cha ndoa
Kalaghabahoooo
Mwanaume hawezi kununua hata umeme, aisee, umepatikana!Habari za mchana wanajamii,
Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.
Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.
Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.
Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.
Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali
Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.
Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
Mnyonye "pipe"Habari za mchana wanajamii,

Wewe ZobaHabari za mchana wanajamii,

tatizo lako we katoto huwa unaandika haraka haraka hata sikuelewagi, vp unakwama wap!Sikia huu ni ukweli niliwahi kumpata mhaya ni mzuri sana mweusi na hizi nivea lotion kawa kahawia mama yake ni mnyaturu mixing akatokea handsome.
Alinipenda sana nilizani nimepatikana basi kwa miezi kadhaa nikaona nikaishi naye huyo jamaa anahela sana meneja wa b na bado ni anavibiashara.
Ndani hatukujaliwa watoto alisema mpaka anioe.
Humo ndani alikuwa na mdogo wake.
Sasa alikuwa anatoa hela ya matumizi yangu na yakila kitu hadi mdogo wake pap hakuna hatoi dah nikasema why jamani.
Hata kula shida anarudi ndani anadai chakula tukawa tunajiuliza nini shida jibu yupo mdada ndiye anapendwa kwa sasa.
Sasa zikapita miezi mitatu hali mbaya tukaona iwe fundisho kaja siku moja chakula kipo ndio kipo nikamwambie akaoge aje tule kwenda bafuni hakuna sabuni anatoka sabuni mbona hamna nikamnyamazia akaoga na maji ya moto akaja kula mezani masheshe ni hii tunakulaga haraka tunaosha vyombo anadhani tunanjaa.
Hiyo siku nikamtengea maji kuanzia bakuli kubwa hadi ndogo nikasema babe chakula tayari .
Akaja kula kumbe kufunua mabakuli nk maji watu pale waliokuwemo sitting room hawana hali kwa mbavu zao.
Nini hiki chakula kweli nikamjibh clear umetoa hela ya matumizi nikyhangaikie kukupatia hadi chakula ??
Akanyamaza akaenda kula nyama choma siku hiyo kadhani hatujala akaleta mbuzi choma tukala.
Akadai kakosa ila hatukumsamehe.
Kesho yake ilikuwa ijumamosi kaenda kazini.
Mimi na mdogo wake tulimtendea kitu hatosahau .
Tulienda buchani tukachukua maini kilo mbili na nyama kilo 3 na supermarket vitu vyakutosha na kibandani nyanya na vitunguu na kila kitu.
Halafu kila mahali tunamweka rehani atalipa kwa maana ni mwaminifu wanakubali hadi duka la nguo.
Karudi saa moja kila mtu anamsimamisha kaka hili lilempaka mshahara wake ukawa sio.
Kurudi nyumbani akasubiri nikiwa mwenyewe hivi hunaga kusamehe kwanini ulifanya hivi nikadai huu ni mwisho wa mwezi na nimenunua mahitaji ya nyumbani hadi pombe eh
Hahahahah unaona majibu yao?ukihudumia family utaambiwa wewe mbaya,una kiherehere,una jipa majukumu ya mume,unataka umtawale mume
Ukiacha family inaadhirika,maskin mwanamke wa kiafrica hasa Tanzania mna tabu sanaaa
Ila narudia ulichemka anzia mwanzo,kamwe usidate na mwanaume bahili wala kuolewa naye
Wanaume nao sikuhizi wanataka kutunzwa halafu waendelee kuheshimiwa na wake zao,hiyo haipo,mimi nikitoa hela yangu afu umekalisha pumbu tu jua wewe ni marioo nakufuga full stop na nyumba nitaiendesha kwa taratibu na kanuni zangu,hutaki kutawaliwa timiza majukumu yako kama baba na kichwa Cha familia simpo
Hahahahah utawaona wapenda utelez watakavyo dandia hii comment
na ulijikakamua haswaa,ujue hawa watu wanatufundisha sana kuwa na roho mbaya. kuna siku nimenunua matunda ya mtoto tu. wakati mtoto anakulaatei na yeye akaanza kuyafakamia.nikamshika mkono. vip mbona unakula matunda ya mtoto akanijibu. kwa kuwa ya kwangu sisyaoni nikamwambia nendakanunue ule haya sio yako.akaniambia nikula haya haya .ni kwambia haya huli nekabeba mtoto wangu na matunda yangu nikatoka nje dogo akayala yote.Sikia huu ni ukweli niliwahi kumpata mhaya ni mzuri sana mweusi na hizi nivea lotion kawa kahawia mama yake ni mnyaturu mixing akatokea handsome.
Alinipenda sana nilizani nimepatikana basi kwa miezi kadhaa nikaona nikaishi naye huyo jamaa anahela sana meneja wa b na bado ni anavibiashara.
Ndani hatukujaliwa watoto alisema mpaka anioe.
Humo ndani alikuwa na mdogo wake.
Sasa alikuwa anatoa hela ya matumizi yangu na yakila kitu hadi mdogo wake pap hakuna hatoi dah nikasema why jamani.
Hata kula shida anarudi ndani anadai chakula tukawa tunajiuliza nini shida jibu yupo mdada ndiye anapendwa kwa sasa.
Sasa zikapita miezi mitatu hali mbaya tukaona iwe fundisho kaja siku moja chakula kipo ndio kipo nikamwambie akaoge aje tule kwenda bafuni hakuna sabuni anatoka sabuni mbona hamna nikamnyamazia akaoga na maji ya moto akaja kula mezani masheshe ni hii tunakulaga haraka tunaosha vyombo anadhani tunanjaa.
Hiyo siku nikamtengea maji kuanzia bakuli kubwa hadi ndogo nikasema babe chakula tayari .
Akaja kula kumbe kufunua mabakuli nk maji watu pale waliokuwemo sitting room hawana hali kwa mbavu zao.
Nini hiki chakula kweli nikamjibh clear umetoa hela ya matumizi nikyhangaikie kukupatia hadi chakula ??
Akanyamaza akaenda kula nyama choma siku hiyo kadhani hatujala akaleta mbuzi choma tukala.
Akadai kakosa ila hatukumsamehe.
Kesho yake ilikuwa ijumamosi kaenda kazini.
Mimi na mdogo wake tulimtendea kitu hatosahau .
Tulienda buchani tukachukua maini kilo mbili na nyama kilo 3 na supermarket vitu vyakutosha na kibandani nyanya na vitunguu na kila kitu.
Halafu kila mahali tunamweka rehani atalipa kwa maana ni mwaminifu wanakubali hadi duka la nguo.
Karudi saa moja kila mtu anamsimamisha kaka hili lilempaka mshahara wake ukawa sio.
Kurudi nyumbani akasubiri nikiwa mwenyewe hivi hunaga kusamehe kwanini ulifanya hivi nikadai huu ni mwisho wa mwezi na nimenunua mahitaji ya nyumbani hadi pombe eh
ni shida yaani nakereka mpka basi. tena ukimsema anakaa kimyaaa.UTAFIKIRI UNAONGEA NA UKUTAMwanaume hawezi kununua hata umeme, aisee, umepatikana!
Umeme ukiisha usinunue, tena chukua nguo zake uzifinyange finyange zijikunje uone kama atavaa hivyo bila kunyooshwa. Chakula pika mapema mle na watu wako, akirudi unamtazama tu, akiomba msosi mwambie hatujapika, hapo kwenye gari sasa, hebu lipaki hapo halafu toa upepo hata tairi moja tu, uone atalitoa tairi akalijaze upepo au la! Na hakikisha taa nyekundu imewaka ili alihudumie na yeye. Sikufundishi uchoyo, mfanyie vitu ambavyo vitasababisha na yeye ashiriki kwa namna moja au nyingine
Inawezekaza pia ninunulie maji basimbona kama unayajua sana mambo ya Mario, au na wewe ni mmoja wapo. kunywa maji kidogo upunguze mihemko
Muwekee sumu kwenye chakula mkuuHabari za mchana wanajamii,
Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.
Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.
Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.
Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.
Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali
Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.
Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
na ulijikakamua haswaa,ujue hawa watu wanatufundisha sana kuwa na roho mbaya. kuna siku nimenunua matunda ya mtoto tu. wakati mtoto anakulaatei na yeye akaanza kuyafakamia.nikamshika mkono. vip mbona unakula matunda ya mtoto akanijibu. kwa kuwa ya kwangu sisyaoni nikamwambia nendakanunue ule haya sio yako.akaniambia nikula haya haya .ni kwambia haya huli nekabeba mtoto wangu na matunda yangu nikatoka nje dogo akayala yote.