Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

Aliyekutuma ujitongozeshe kwa mwanaume kisa ana sura nzuri ndo huyo huyo akakupe ushauri...

Fanya kazi pata hela,mnunulie nguo kauze nae sura.

Kama sio hivyo basi humpi ngono nzuri hivyo mwanaume hapotezi mda kugharamikia mwanamke ambaye hata waki sex nae Ni kwasababu anataka ku release tension, no intimacy.
Team Mario's at work
 
Habari za mchana wanajamii,
NAOMBENI MBINU ZA KUISHI NA MUME BAHILI/MCHOYO. mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi. akishatoa hiyo atajikausha hata miezi mmine inaweza pita bila kutoa kitu. na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe. Basi nikafunguabiashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkaliii.basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. nimemsema sana lakini naona habadiliki. nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
kitandani vip lakini anakukojoza au
 
Nakushauri wewe mtoe auti siku moja alafu siyo kwa hasira bali kwa upendo zaidi alafu baada ya chakula na taratibu kwa hekima ya MUNGU anza kuongea naye juu ya maisha yenu na umuhimu wa mawasiliano Kati yenu kuaminiana maendeleo ya familia na nini lengo la MUNGU nyie kuungana na kuwa mwili mmoja.
Ongea naye taratibu na kwa heshima mpaka mwenyewe atajisikia kuwa anachokufanyi haki siyo sahihi kama mume.
MUNGU akutangulie Kate.
 
Mtangulize MUNGU unapokuwa unaongea naye , naye atabalika na kuwa mume mwema.
 
Nakushauri wewe mtoe auti siku moja alafu siyo kwa hasira bali kwa upendo zaidi alafu baada ya chakula na taratibu kwa hekima ya MUNGU anza kuongea naye juu ya maisha yenu na umuhimu wa mawasiliano Kati yenu kuaminiana maendeleo ya familia na nini lengo la MUNGU nyie kuungana na kuwa mwili mmoja.
Ongea naye taratibu na kwa heshima mpaka mwenyewe atajisikia kuwa anachokufanyi haki siyo sahihi kama mume.
MUNGU akutangulie Kate.
Hawezi badilika, mwanaume bahili ni wa kukwepa kama ukoma,mwenye masikio na asikie.
 
Habari za mchana wanajamii,
NAOMBENI MBINU ZA KUISHI NA MUME BAHILI/MCHOYO. mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi. akishatoa hiyo atajikausha hata miezi mmine inaweza pita bila kutoa kitu. na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe. Basi nikafunguabiashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkaliii.basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. nimemsema sana lakini naona habadiliki. nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa

Kabla ya chochote mna kipato kinachofanana?
 
Hahahahaha

Kwani mpaka leo umewazaje kuishi nae dada? Ndo mume huyo mvumilie tu
 
Usizae mtoto mwingine
Jishughulishe kwa bidii
Toa pesa ishu za lazma tuu mf umeme,chakula
Mafuta kwny gari km unaendesha wewe
kando ya hapo usitoe hela wala usimpe pesa ya matumizi binafsi
 
Roho yake mbaya tu mbona na Kuna Wanaume wanasambaza gonjwa kwa wanawake wapenda hela, hiyo Ni kawaida tu kwa wenye roho mbaya...

Ukishajitongozesha kwa mwanaume jiandae kuhonga hiyo ndo formula..
 
Back
Top Bottom