M mpitaji Member Aug 27, 2010 37 2 Nov 3, 2010 #1 nina machungu sana wadao. hawa ccm wanataka kutupeleka wapi??? wataongozaje watu wasiowapenda?? huu uroho wa madaraka hadi lini?
nina machungu sana wadao. hawa ccm wanataka kutupeleka wapi??? wataongozaje watu wasiowapenda?? huu uroho wa madaraka hadi lini?
Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,349 6,476 Nov 3, 2010 #2 Nenda www.chadema.or.tz utapata namba zao.
Mwanamageuko JF-Expert Member Oct 31, 2010 8,602 5,569 Nov 3, 2010 #3 mpitaji said: nina machungu sana wadao. hawa ccm wanataka kutupeleka wapi??? wataongozaje watu wasiowapenda?? huu uroho wa madaraka hadi lini? Click to expand... :smile-big: hapooo ndo pazuri:smile-big: Je wale wasio na vyama na hawavitaki inakuweje???:doh:
mpitaji said: nina machungu sana wadao. hawa ccm wanataka kutupeleka wapi??? wataongozaje watu wasiowapenda?? huu uroho wa madaraka hadi lini? Click to expand... :smile-big: hapooo ndo pazuri:smile-big: Je wale wasio na vyama na hawavitaki inakuweje???:doh:
C chairman Member Nov 3, 2010 16 0 Nov 3, 2010 #4 namba zao za nini au na wewe umetumwa na mafisadi. peleka shida yako kwa sekretari wake atakusaidia. ofisi zao zipo wazi wapi kabla hawajafunga
namba zao za nini au na wewe umetumwa na mafisadi. peleka shida yako kwa sekretari wake atakusaidia. ofisi zao zipo wazi wapi kabla hawajafunga
Njowepo JF-Expert Member Feb 26, 2008 9,710 2,226 Nov 3, 2010 #5 Zomea zomea kwa JK itaongezeka kwa miaka mitano ijayo
D dotto JF-Expert Member Sep 29, 2010 1,725 255 Nov 3, 2010 #6 :bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl: sina hamu.kizungumkuti cha mafisadi. wameweza wekana jengoni tena. yana mwisho.
:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl: sina hamu.kizungumkuti cha mafisadi. wameweza wekana jengoni tena. yana mwisho.