naomba mawasiliano binafsi ya kiongozi yeyote wa CHADEMA. either Mnyka, Kabwe au DR. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba mawasiliano binafsi ya kiongozi yeyote wa CHADEMA. either Mnyka, Kabwe au DR.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpitaji, Nov 3, 2010.

 1. m

  mpitaji Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nina machungu sana wadao. hawa ccm wanataka kutupeleka wapi??? wataongozaje watu wasiowapenda?? huu uroho wa madaraka hadi lini?
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
 3. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  :smile-big: hapooo ndo pazuri:smile-big: Je wale wasio na vyama na hawavitaki inakuweje???:doh:
   
 4. c

  chairman Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namba zao za nini au na wewe umetumwa na mafisadi. peleka shida yako kwa sekretari wake atakusaidia. ofisi zao zipo wazi wapi kabla hawajafunga
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Zomea zomea kwa JK itaongezeka kwa miaka mitano ijayo
   
 6. d

  dotto JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:


  sina hamu.kizungumkuti cha mafisadi. wameweza wekana jengoni tena. yana mwisho.
   
Loading...