naomba mawasiliano binafsi ya kiongozi yeyote wa CHADEMA. either Mnyka, Kabwe au DR.

mpitaji

Member
Aug 27, 2010
37
2
nina machungu sana wadao. hawa ccm wanataka kutupeleka wapi??? wataongozaje watu wasiowapenda?? huu uroho wa madaraka hadi lini?
 
nina machungu sana wadao. hawa ccm wanataka kutupeleka wapi??? wataongozaje watu wasiowapenda?? huu uroho wa madaraka hadi lini?
:smile-big: hapooo ndo pazuri:smile-big: Je wale wasio na vyama na hawavitaki inakuweje???:doh:
 
namba zao za nini au na wewe umetumwa na mafisadi. peleka shida yako kwa sekretari wake atakusaidia. ofisi zao zipo wazi wapi kabla hawajafunga
 
:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:

sina hamu.kizungumkuti cha mafisadi. wameweza wekana jengoni tena. yana mwisho.
 
Back
Top Bottom