Naomba maoni yenu..

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...na tena yawe ya dhati maana uzushi hautakiwi hapa. Iko namna hii:

Siku kadhaa zilizopita mimi na shemeji/wifi yenu Kongosho tulikuwa tunaangalia documentary fulani ihusuyo wadudu (could be wanyama pia maana sikumbuki vema). Kwenye hiyo documentary ilionyeshwa kuwa kila dume aki-sex na jike dume anakufa mara. Sasa Kongosho (maybe ni kwa ajili ya wivu) akatoa comment hii: "Bora hii ingekuwa ina-apply pia kwa binadamu". Wenzangu (wanaume kwa wanawake) mna maoni gani?
 
Hii ni hatari kuna watu wange kufa wakiwa na miaka kumi.
 
ingekuwa powa hata ukimwi usingekuwepo watu wangekuwa na adabu ya hali ya juu
 
mawazo mengine bhana duh...jibu ni rahisi tu...kusingekuwa na watu duniani. Siku ya kwanza tu Eva na Adam walipokula tunda basi palepale Adam angekufa, miaka kadhaa ingepita naye Eva angekufa kwa maswaiba mengine.
 
hah hah hah ha! Sasa mbona hao wadudu walikuwepo!? Au ndio walikuwa wameumbwa!
 
hah hah hah ha! Sasa mbona hao wadudu walikuwepo!? Au ndio walikuwa wameumbwa!

hahah huyu mkuu anataka kufananisha baadhi ya wadudu na uhalisia wa binadamu kiukweli ni kujaribu kuipa kazi akili kubwa kufikiria vitu vya akili ndogo, mwanadamu aliumbwa lakini wadudu walitamkwa na wakawa.
 
Back
Top Bottom