Naomba Maelekezo namna ya kununua kontena tupu

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,083
1,135
Habarini wadau,

Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni.

Nawasilisha.
 
Habari yako mtoa mada.

Kuna namna za kununua hizo containers

1. Kununua kwa mtu,
Hapa mtaelewana wenyewe bei, ila kwa 20ft zinaanzia million 2 TZS

2. Kununua kwa shipping lines. Hawa ndo wamiliki halali,

Mara nyingi huuzia wateja wao (kama ume ingiza mzigo nchini) ila pia wanauza kwa mtu yeyote inategemea na hali ya container na stock yao. Kwa 20ft inaanzia dollar 1000. Ila inategemea na hali ya kontena yenyewe.

Sema upo wapi tukuelekeze zaidi.
 
Ahsante kwa maelekezo mkuu,mimi niko Bunju Dsm.
 
Container nenda kurasini zimejaa kibao bei kwa futi 20 zinaanzia 2 mpaka 2.5m hakikisha ukinunua unapewa documents zake au mnaandikishana kwa mwanasheria narudia hakikish.
Ukikwama nitafute nikusaidie
0623953036 whatsapp/calls
 
Kwa msisitizo huo 😆😆
 
Back
Top Bottom