Naomba maelekezo mafupi ya kufika Mwanza

Naomba maelekezo mafupi ya kufika Mwanza

Natokea zanzibar kwa iyo nitaondokea dar
Ukishuka downtown panda mwendokasi ukashukie shekilango.
Baada ya hapo chukua Sama, Happy Nation, Katarama ama Abood za Mwanza.
Mkitoka pale mtapitia Magufuli, Kibaha, Mlandizi, Charlize, Morogoro, Dumila, Gairo, Pandambili, Kibaigwa, Chinangali, Chamwino, Ihumwa then Dodoma.
Nitakuja kuendelea baadae
 
Toka zanzbar fka magu stend chunga wasikuibie cmu nauli ni 70k to 90k kulingana na magar yenyewe then mwanza umefika. Plan b fka stage ulembue kidogo utapata kibos anaenda huko hata kwa 40k bora tu ukubali akushke shke. Plan 3...... Ngoja naja
 
Kumbe hata nauli hana mpaka akashikweshikwe😂
 
Mkuu hata kujieleza huwezi ? Unatokea mkoa gani kwenda mwanza ? Ili uelekezwe bei nauli na kampuni nzuri ya bus ...... ! Changamoto sana hii mtu kujielezea
 
Back
Top Bottom