Naomba maelekezo kuhusu Induction cooker

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,460
Reaction score
6,822
Habari wakuu.

Naomba kufahamu zaidi juu ya hili jiko la kupikia. Nipo Mwanza naweza kulipata wapi? Kampuni gani nzuri? Wenye uzoefu wa kulitumia vipi lipo vzuri? Nini hasara zake? Bei yake ipoje (One plate and two plates?)

Asanteni.


 
kampuni gani nzuri?
BlackStone

Wenye uzoefu wa kulitumia vipi lipo vzuri?
liko vizuri sana, ufanisi mkubwa, halina joto, unawezapika ukakaa juu ya ile plate, ila kila chenye kizuri kina gharama

Nini hasara zake?
Umeme baba umeme, mengi ni 2000 W (plate moja), ukipiga full, ndani ya saa moja linakata unit 2 za umeme chap

Bei yake ipoje(One plate and two plates?
Plate moja bei ni kuanzia 70k mpaka 100k
 
Asanteni sana ndugu zangu. Vipi upatikanaji wake? Warrant muda gan?
 
Duuh hapo kwenye umeme hapo kuna tatzo.Baba mwenye nyumba atanifukuza mapema sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kama kapanga litamfarakanisha na majirani unit 2 siyo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ