Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa?
Tafadhari sana unapojibu usinijibu kwa kutumia ile hadithi ya "tumuumbe Mtu kwa Mfano wetu" na usinijibu kwa kutumia hadithi ya uumbaji wa Eva kutoka kwenye Ubavu wa Adamu. Tafadhari sana unapojibu kuhusu jinsi ya Mungu unionyeshee na kifungu kinachoonyesha kua Mungu ni jinsia hii? Unaposema Mungu ni Mwanaume nionyeshee aliposema yeye ni Mwanaume na unaposema ni Mwanamke nionyeshee aliposema yeye Mungu ni Mwanamke.
Tafadhari sana naomba unapojibu mkuu zingatia sana hayo mambo mawili, napenda kujua Mungu ana jinsia gani? Usiniambie Mungu ana jinsia ya Yesu na Maria. Please huko usiniambie kabisa mkuu. Wewe niambie ni wapi MUNGU aliposema kua yeye ni Mwanamke na wapi aliposema yeye ni Mwanaume. Usiniambie Yesu alijitambulisha kua ametumwa na Baba yake kwa hio Mungu ni Mwanaume, kwa hio na wale wanaosema Mungu ni Mwanamke hawapo sahihi kwamba Yesu alipokuja hakusema ametumwa na Mama yake?
Nasubiria majibu yenu wakuu. Maana kuna siku nilisikia mtu akisema MUNGU ni Mama, nilishtuka sana yaani sasa tumefika kumuita Mungu Mama sio Mungu Baba tena?
Wakuu, nasubiri hapa mnielezee jinsia ya Mungu.