Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,268
- 79,637
Alipewa mkong'oto wa nguvu shauri ya ubakaji,Itakuwa ni tatizo la tezi ingawa sina hakika, lakini nshaona wengi wenye tatizo kama lile na si kwenye paji la uso tu, hadi mkononi. Athari za kuishi sana ndani ya fens ndo zimekufanya uone kitu kipya, unatembea mtaani kwa kutumia tv ya sebuleni kwenu.
Itakuwa ni tatizo la tezi ingawa sina hakika, lakini nshaona wengi wenye tatizo kama lile na si kwenye paji la uso tu, hadi mkononi. Athari za kuishi sana ndani ya fens ndo zimekufanya uone kitu kipya, unatembea mtaani kwa kutumia tv ya sebuleni kwenu.
Siyo sigida kweli hiyo.
Hii ni alama apewayo mtu ambaye amemchukiza Mungu kama Kaini alivyomwua kakake alipatiwa alama ili kila amwonaye ajue kuwa huyu ndiye aliyua kakake. yaani chata