Naomba kuulizia nundu ya Makamba usoni kulikoni?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,768
78,436
icon5.png
Naomba kuulizia nundu ya Makamba usoni kulikoni?

hivi nundu ya Dr Dr Dr (Fitna, Majungu, Unazi) Makamba usoni inatokana na nini? anayejua jamani maana kama zile kuna mtu alimpachika kipepsi akatoboa paji! Niambieni wajameni mie nataka kuisawazisha....
 
Itakuwa ni tatizo la tezi ingawa sina hakika, lakini nshaona wengi wenye tatizo kama lile na si kwenye paji la uso tu, hadi mkononi. Athari za kuishi sana ndani ya fens ndo zimekufanya uone kitu kipya, unatembea mtaani kwa kutumia tv ya sebuleni kwenu.
 
Alipewa mkong'oto wa nguvu shauri ya ubakaji,
 
Kwa alivyo mfitini na mtu wa majungu labda alipewa ndosi utotoni.
 
Itakuwa ni tatizo la tezi ingawa sina hakika, lakini nshaona wengi wenye tatizo kama lile na si kwenye paji la uso tu, hadi mkononi. Athari za kuishi sana ndani ya fens ndo zimekufanya uone kitu kipya, unatembea mtaani kwa kutumia tv ya sebuleni kwenu.

Si tezi....hamna tezi kwenye eneo hilo la uso. Hilo ni tatizo linaitwa 'Lipoma', ni kivimbe kinachokuwa na asili ya seli za mafuta 'fat cells' zinapopata mabadiliko fulani ya kijenetiki 'genetical'! Ni tatizo common kwa watu wengi tu, na linaweza kutokea kwa mtu yeyote. Muigizaji mzee Kipara ana tatizo kama hilo kisogoni.
 
Tochi yake ya usiku anaporuka na ungo kwenda kweny majengo ya vyama vingine aliangukia katika paa la CDM nundu ikatoka ndio maana hataki kusikia CDM na akida DR kwani maombi yalifika sawia kwa mwokozi na akakubali kuweka ulizi katika nyumba zote za CDM.Tuongeze maombi wengi watatoka nundu 2015.:frusty:
 
tehe tehe tehe.....ALIPOKUWA AKIHOJIWA MZEE HUYU AMBAYE MIMI HMWITA "MWANAFALSAFA".... naye akasema...."mbowe macho yake yanatuangalia sisi au anarembua"

(hii ndoto niliyoota kiboko)
 
Hatai kweikwei......, alaf inawezekana hata hajui ana uvimbe hapo reception. Tanga soo ndugu zangu.
 
Jamani hyo ni antena yake ya kurusha majungu na fitina zake,huku akijidai ananukuu vifungu vya quran tukufu na biblia takatifu,tujaribu kuikata tuone kama atakuwa anaropoka hovyo....makamba mzee wa kamba
 
Hii ni alama apewayo mtu ambaye amemchukiza Mungu kama Kaini alivyomwua kakake alipatiwa alama ili kila amwonaye ajue kuwa huyu ndiye aliyua kakake. yaani chata
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom