mmmmh si sawa!
Mbona wa Zuma kaliwa na anawalinzi
Wa Mugabe kabanjuliwa na ana walinzi
Wa Mswati kapigwa kitu na anawalinzi
Ukimuwekea walinzi haohao walinzi watambanjua
We muache huru, kama siyo kicheche atakueheshimu, kama ni kicheche hata ufanye nini atachecheka tu
mmh jaman
bnadamu achunguki ao wanaomlinda ndo watakaoiba.....
chek wap pbm ulisove ili muwe huru lakin cha kuwekeana walinz ahhh naona km wajaribu FUNIKA JUA KWA UNGO....HAIWEZEKANIKI..
--kaa chini tatuen utata then kila mtu atakuwa huru na kujilinda kwa tym ake...
...ustegemee kufanya mafyongo HAUMTUNZ mkeo then ukategemea walinz mmh mmh apana nooooooooooo!!!!
inaweza ikawa sawa ina weza ikawa si sawa.. inategemea na situation
Mwanaume kumuwekea mkewe walinzi akiwa safarini ni sawa? Mf. Wafanyakazi wa hotel, wafanyakazi wenzake, nk
Eti eeehhh hajiamini?!!!
Labda umezidisha maufundi hadi hataki wengine wasogee, hiyo initwa BONAFIDE CLAIM OF RIGHT- hako ka style kako applicable kwa midume yanye uchu na wivu wa kupindukia