Naomba Kuuliza

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Mwanaume kumuwekea mkewe walinzi akiwa safarini ni sawa? Mf. Wafanyakazi wa hotel, wafanyakazi wenzake, nk
 
mmmmh si sawa!
Mbona wa Zuma kaliwa na anawalinzi
Wa Mugabe kabanjuliwa na ana walinzi
Wa Mswati kapigwa kitu na anawalinzi

Ukimuwekea walinzi haohao walinzi watambanjua
We muache huru, kama siyo kicheche atakueheshimu, kama ni kicheche hata ufanye nini atachecheka tu
 
mmh jaman
bnadamu achunguki ao wanaomlinda ndo watakaoiba.....
chek wap pbm ulisove ili muwe huru lakin cha kuwekeana walinz ahhh naona km wajaribu FUNIKA JUA KWA UNGO....HAIWEZEKANIKI..
--kaa chini tatuen utata then kila mtu atakuwa huru na kujilinda kwa tym ake...
...ustegemee kufanya mafyongo HAUMTUNZ mkeo then ukategemea walinz mmh mmh apana nooooooooooo!!!!
 
hapa mimi siongezi neno

tangu lini binadamu akachungika?
 
mmh jaman
bnadamu achunguki ao wanaomlinda ndo watakaoiba.....
chek wap pbm ulisove ili muwe huru lakin cha kuwekeana walinz ahhh naona km wajaribu FUNIKA JUA KWA UNGO....HAIWEZEKANIKI..
--kaa chini tatuen utata then kila mtu atakuwa huru na kujilinda kwa tym ake...
...ustegemee kufanya mafyongo HAUMTUNZ mkeo then ukategemea walinz mmh mmh apana nooooooooooo!!!!

Hapa sasa itabidi nimwelimishe jamaa maana mmmhhh!!!!
 
inaweza ikawa sawa ina weza ikawa si sawa.. inategemea na situation
 
Mwanaume kumuwekea mkewe walinzi akiwa safarini ni sawa? Mf. Wafanyakazi wa hotel, wafanyakazi wenzake, nk

Dume lenye uhakika halimchungulii mkewew, hilo halina uhakika hilo, labda linachua linatimiza majukumu partially au ni libovu kabisa
 
Labda umezidisha maufundi hadi hataki wengine wasogee, hiyo initwa BONAFIDE CLAIM OF RIGHT- hako ka style kako applicable kwa midume yanye uchu na wivu wa kupindukia

Ufundi kawaida katika malavu si unajua tena mboga bila chumvi na vioungo hainogi? Shauri yake nitampa ushauri wenu
 
Back
Top Bottom