Jamani wana Jf, hivi humu ndani hakuna wanaosherehekea BIRTHDAY zao? Kila nikipatembelea humu nakutana na mambo mengi sana lakini ya birthday hakuna. Ama humu sio mahali pake? Naomba kujua hili.
...ndo sherehe gani ? mapumziko tena ! Jamani jk anaipeleka wapi nchi..?
Ukitaka kupost birthday yako inabidi ulipie
Ukitaka kupost birthday yako inabidi ulipie[/QUOTE
Hahahahhaa..... nimecheka sana!
Mtoa mada naona ni mtembeleaji wa jukwaa moja tu ndio maana haoni mapost ya birthday na makkeki!!
Jamani wana Jf, hivi humu ndani hakuna wanaosherehekea BIRTHDAY zao? Kila nikipatembelea humu nakutana na mambo mengi sana lakini ya birthday hakuna. Ama humu sio mahali pake? Naomba kujua hili.
Ukitaka kupost birthday yako inabidi ulipie[/QUOTE
Hahahahhaa..... nimecheka sana!
Mtoa mada naona ni mtembeleaji wa jukwaa moja tu ndio maana haoni mapost ya birthday na makkeki!!
Namtumia number atume pesa ili aweze kupost
Toka lini?