Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Hii habari unganisha kwenye uzi juu kwa kufanya editing ili habari yako hiwe na mtiririko mzuri amina ali
Nijuzeni wana JF mwenzen nilibakwa na mtu wa familia, pia nakaribia ndoa ila mwenza wangu sijamwambia ukwel najiskia vibaya ila sitak kuonekana muhuni maana haikua ridhaa yangu
Last edited by a moderator: