Preta ulishawahi irudisha ya kwako nini?Ndio.....ikisaidiwa na malimao.....
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
Sio ulimcheat hapo kweli? Mhhh umemnyima jamaaa weee,jamaaa kasema isiwe tabu atavumilia mpaka ndoa wakati labda wewe ulikuwa unapata Raha kwa mbali,Nikweli mwanzo nilimwambia kua mimi ni bikra na akaniwekea heshma had sasa hajaniomba sex ila tatizo katkat ya mahusiano yetu ndo nilipata huo mkasa.
Yaani we isahau. Kama umeshawapa watu wamebanguka sahau.
Bikra ni kangozi, sasa sijui hayo malimao unayoambiwa yana uwezo gani wa kurudisha kagozi ambako hakapo.
Atakuwa amemdanganya BF wake kuwa hajawahi kudushereriwa...na jamaa anahamu ya kufungua kitu sealed...so anatfuta mazingira ya kurekebisha size...Kazi kwelikweli.
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
pole sana amina ali , kwasababu inaonesha ni kitu kinachokusumbua m basi mweleze ukweli kwani ukweli utakuweka huru siku zote