Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,120
Ivi kwanini watu ambao labda umesoma nao au mmejuana zamani ivi mkapoteana wana tabia ya kuomba namba then wanapotea tena au hawakutafuti? Wanaomba namba ya nn? Au ndo hii salam mpya Km Hamna la kuongea basi kujifanya nitakutafuta then hata akikutafuta one or 2 message uyo humuoni tenaš³š³š³ Sasa unaomba namba ya nini? š”š”š” c salimianeni tu then poteza.

