Naomba kuuliza?

Naomba kuuliza?

Hiyo huwa ndio gear ya kuondokea ili usione kama hana time nawewe tena so inabidi kuzuga kukuomba namba wakat anajua kabisa hamna ukaribu tena.
 
Ktk vitu vimenipita na sina mzuka ni status na kujipost mitandaoni. Yaani ziwezagi kujipost mitandaoni wala hayo mambo ya status naona kama utoto.

Whasap ndo nimeweka picha tu profile
Tumefanana 💯

Mi profiles za mitandao yote sijaweka picha yangu
 
Ivi kwanini watu ambao labda umesoma nao au mmejuana zamani ivi mkapoteana wana tabia ya kuomba namba then wanapotea tena au hawakutafuti? Wanaomba namba ya nn? Au ndo hii salam mpya Km Hamna la kuongea basi kujifanya nitakutafuta then hata akikutafuta one or 2 message uyo humuoni tena😳😳😳 Sasa unaomba namba ya nini? 😡😡😡 c salimianeni tu then poteza.
Ukiona hivyo hujaingia kwenye mfumo ,hii ni kawaida in this life
 
Mimi kusave namba ya mtu niliyesoma naye au tulifahamiana zamani tukapoteana sioni shida kwa sababu google contact haijaagi

Vijana acheni ego tengenezeni connection ingieni kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom