Naomba kuuliza...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Salam wakuu,

Bila kupoteza muda naomba kuuliza kwa wazoefu vitu vya msingi unavyopaswa kuwa navyo pindi unapotaka kuanzisha biashara ya car wash. Vichache naelewa ni:

Pressure washer
Vacuum cleaner
Water supply.
Compressor

Naomba kujua vinginevyo vinavyohitajika kwenye hii biashara
 
Salam wakuu,
Bila kupoteza muda naomba kuuliza kwa wazoefu vitu vya msingi unabyopaswa kuwa navyo pindi unapotska kuanzisha biashara ya car wash. Vichache naelewa ni:

Unahitajika wewe usimamie
 
Eneo yaani Space
Maji ya kutosha
Wateja wa maana
Wafanyakazi waaminifu
Na spana kadhaa
 
Salam wakuu,
Bila kupoteza muda naomba kuuliza kwa wazoefu vitu vya msingi unabyopaswa kuwa navyo pindi unapotska kuanzisha biashara ya car wash. Vichache naelewa ni:
Pressure washer
Vacuum cleaner
Water supply.
Compressor
Naomba kujua vinginevyo vinavyohitajika kwenye hii biashara
Usisahau gum boots, vitambaa safi vya pamba na sabuni
 
Back
Top Bottom