Nahitahi partner wa kushirikiana kwenye biashara

plenteous

New Member
Jan 12, 2024
3
5
Wakuu kama kichwa kinavyoeleza hapo juu muda mrefu nimekuwa na mpango wakufungua car wash pamoja na car body repair ambayo itakuwa na ubora na yenye kufanya kazi kwa ubora wa hali ya juu!

Nashukuru now nimefanikiwa kupata vitendea kazi vyote vinavyohitajika, tatizo kubwa kwa sasa ni kupata mtu wa kuungana nae na kushirikiana naye.

Binafsi naamini katika team work kifupi natafuta mtu ambae majukumu yake makubwa ni kulipia kodi ya eneo ambalo tutalitafuta baada ya hapo tutakaa chini na kuweka makubaliano maalumu ya namna ya kupata faida na tunagawanaje.

Karibu kwa mtu ambae yuko serious tuweze kuzungumza zaidi

Upande wa vifaa niko navyo mpaka sasa kama ifuatavyo.
1. Tank la maji lita 2000
2. Car wash mashine
3. Vacum cleaner
4. Compressor lita 200
5. Headlight cleaner
6. Spray gun
7. Pressure pipe
8. Sanding mashine
9. Livert mashine
10. Pressure gauge
 
Wakuu kama kichwa kinavyoeleza hapo juu mda mrefu nimekua na mpango wakufungua car wash pamoja na car body repair ambayo itakua na ubora na yenye kufanya kazi kwa ubora wa hari ya juu!

Nashukuru now nimefanikiwa kupata vitendea kazi vyote vinavyo itajika ,tatizo kubwa kwa sasa , n kupata mtu wa kuungana nae na kushirikiana naye.

Binafs naamini katika team work kifupi natafuta mtu ambae majukumu yake makubwa n kulipia kodi ya eneo ambalo tutalitafuta baada ya hapo tutakaa chini na kuweka makubaliano maalumu ya namna yakupata faida na tunagawanaje.

Karibu kwa mtu ambae yuko serious tuweze kuzungumza zaidi

Upande wa vifaaa niko navyo mpaka sasa kama ifuatavyo.
1. Tank la maji lita 2000
2. Car wash mashine
3. Vacum cleaner
4. Compressor lita 200
5. Haedlight cleaner
6. Spray gun
7. Pressure pipe
8. Sanding mashine
9. Livert mashine
10. Pressure gauge
Mnagawana hisa za kampuni?

Je wewe ni asilimia ngapi za share uko tayari kuzitoa?. Mwekezaji akisema mgawane share 50-50 uko tayari?.

Au unavyosema mtaweka makubaliano maalumu ya kugawama faida una maanisha nini?
 
Uko wapi wewe?
 
Makubaliano maalumu kwamba kwenye kila faida tutakayo pata baada ya kutoa ghalama za uendeshaji, ndipo tutakaa kukubaliana anachukua asilimia ngapi na chukua asilimia ngapi?!
 
Back
Top Bottom