Naomba kuuliza swali kwa wanaume!

Naomba kuuliza swali kwa wanaume!

ba93b61d596071bafd16a13ed3e8b329.jpg

Tuanzie hapo, umejifunza nini?
Utaishi nae kwakua umezaa nae?
asante hili nijibu tosha kabisaaaa tatizo mtoa mada ameitazama ndoa kama vikundi vya upatu..ndoa nimaisha mkuu ..ukicheza umecheza na maisha yako ..
 
Kheri kuishi na mwanamke aliyezalishwa watoto watatu na anajitambua na kutambua thamani ya ndoa kuliko kuishi na mwanamke uliezaa nae mtoto mmoja au wawili lakini pasua kichwa.

Wanaume hatupendi ujinga!
kama hatoweza kuelewa hapa basi hatoweza kuelewa tena ...hii comment imemaliza kila kitu
 
asante hili nijibu tosha kabisaaaa tatizo mtoa mada ameitazama ndoa kama vikundi vya upatu..ndoa nimaisha mkuu ..ukicheza umecheza na maisha yako ..
Najua ndio maana nikauliza hivi. So umetafsir vibaya maana yangu
 
Back
Top Bottom