The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,295
- 49,342
Kila simu au kila siku
Nilimaanisha kila siku mkuu. Ahsante kwa marekebisho
Kila simu au kila siku
Sasa unaweza kuwa handle hao watoto wa mwanaume mwenzio, sawa huyo mwanamke atakupenda na je hao watoto watakuthamini kama baba yao mzazi au watakuona upo tu, na siku ya siku waanze kukudharau na wampende baba yao, ukitaka kujua uwepo nyumbani halafu baba yao aje hapo nyumbani uone watakavyo mchangamkia baba yao ndio utajua kuwa hawa watoto ni wanafki si ajabu ripoti zako watampa baba yao kuwa huwa unawasema na huwalishi vizuri kama inavyotakiwaKheri kuishi na mwanamke aliyezalishwa watoto watatu na anajitambua na kutambua thamani ya ndoa kuliko kuishi na mwanamke uliezaa nae mtoto mmoja au wawili lakini pasua kichwa.
Wanaume hatupendi ujinga!
Haya mambo yatakusumbua kama sio EXPERT kwenye mapenzi kijana.Habari JF!
Niende direct kwa maswali ninayotaka kuuliza..
1: Hivi unawezaje wewe mwanaume kumuacha mwanamke wako aliye na mtoto wako then ukaenda kuishi na mwanamke mwingine aliyezaa na jamaa mwingine? Yani na ukaridhika kabisa kuacha mwanao na mama yake na kwenda kwa mwingine, angali ukijua malezi ya baba na mama mtoto anayahitaji.(Sisemei vimada wanaoenda kuvuruga ndoa za watu)
2: Kwanini mwanaume unakuwa mgumu kumsamehe mwanamke wako ukisikia amechepuka angali wewe ndio muozo hatari kwa kuchepuka?
Nimetumia mwanamke/mwanaume kurahisisha si wote wameoa n kuolewa.
Naomba kujuzwa hua inakuaje maana sio expert kwenye mapenzi.
NB: mimi ni mwanaume.
Hahaa, najua nitakuudhi ila ngoja nikwambie ukweli. Sote tunaamini tumeumbwa na Mungu, na tumeumbwa kwa mfano wake. Mungu utawala wake ni mfumo dume, na Mungu mwenyewe kwa utafiti wangu mdogo na wa kijinga sana nilofanya naamini kuwa yeye ni mwanaume. Hivyo mfumo dume maana yake mwanaume ndo mmiliki wa kila kitu hapa duniani na mwanamke ni msindikizaji tu. Hivyo hata ndoa, na mahusiano ya kingono, bado mwanaume ndo mmiliki wa huyo mwanamke aliyenaye kwenye mahusiano. Na ndo maana huwa anakuhudumia kwa kukupa hela, hivyo kama wewe unamiliki kitu halafu ukute mwingine anakitumia vibaya lazima ujisikie wivu, na wewe mwanamke ukikuta mumeo anachepuka huna gats za kuhoji, ila kumshauri na kujiuliza umekosea wapi. Haya mamlaka ni Mungu ndo kayaweka kwa mwanaume. Ukitaka vifungu vya bibilia nitakupa maana nako huko niko vizuri balaaHabari JF!
Niende direct kwa maswali ninayotaka kuuliza..
1: Hivi unawezaje wewe mwanaume kumuacha mwanamke wako aliye na mtoto wako then ukaenda kuishi na mwanamke mwingine aliyezaa na jamaa mwingine? Yani na ukaridhika kabisa kuacha mwanao na mama yake na kwenda kwa mwingine, angali ukijua malezi ya baba na mama mtoto anayahitaji.(Sisemei vimada wanaoenda kuvuruga ndoa za watu)
2: Kwanini mwanaume unakuwa mgumu kumsamehe mwanamke wako ukisikia amechepuka angali wewe ndio muozo hatari kwa kuchepuka?
Nimetumia mwanamke/mwanaume kurahisisha si wote wameoa n kuolewa.
Naomba kujuzwa hua inakuaje maana sio expert kwenye mapenzi.
NB: mimi ni mwanaume.
Siku yakikkupata utajua ni kwanini?Habari JF!

Kwa hili mimi nimekataa 100% siungi mkono wala mguu ndugu.Hahaa, najua nitakuudhi ila ngoja nikwambie ukweli. Sote tunaamini tumeumbwa na Mungu, na tumeumbwa kwa mfano wake. Mungu utawala wake ni mfumo dume, na Mungu mwenyewe kwa utafiti wangu mdogo na wa kijinga sana nilofanya naamini kuwa yeye ni mwanaume. Hivyo mfumo dume maana yake mwanaume ndo mmiliki wa kila kitu hapa duniani na mwanamke ni msindikizaji tu. Hivyo hata ndoa, na mahusiano ya kingono, bado mwanaume ndo mmiliki wa huyo mwanamke aliyenaye kwenye mahusiano. Na ndo maana huwa anakuhudumia kwa kukupa hela, hivyo kama wewe unamiliki kitu halafu ukute mwingine anakitumia vibaya lazima ujisikie wivu, na wewe mwanamke ukikuta mumeo anachepuka huna gats za kuhoji, ila kumshauri na kujiuliza umekosea wapi. Haya mamlaka ni Mungu ndo kayaweka kwa mwanaume. Ukitaka vifungu vya bibilia nitakupa maana nako huko niko vizuri balaa
😀😀😀😀😱Hiyo namba mbili bana wanajikutaga wana mioyo afu wanawake wanachuma.... *****!!!!
Siombei iwe hivyo ila si sawa kbs...Utajua jua tu yakikukuta,
Eeeh! Yan kisa anawivu ndo ukamuacha? Labda ulikua humpend na umemchoka unamtafutia sababuHaya mambo hayana majibu ya moja kwa moja kwa mfano Mimi nilimuacha shemeji yako kwa sababu ya wivu uliopitiliza kila mahali anataka muwe pamoja
Mkuu hawana alama lakini wanajijua hivyo subiri waje watakujuza zaidi...Expert wa mapenzi ana alama gani ?
Kama kipo chuoMkuu hawana alama lakini wanajijua hivyo subiri waje watakujuza zaidi...
Watafute wanaume wa dar watakujuza zaid hawa wa huku mkoani watakudanganya! Au nenda kwa boss wa wcb atakufundisha ujuziKama kipo chuo
njulishe ada yake na mmi niende
Mimi nipo ukerewe nduguWatafute wanaume wa dar watakujuza zaid hawa wa huku mkoani watakudanganya! Au nenda kwa boss wa wcb atakufundisha ujuzi
Huyu ndie amejibu swali lako.Kheri kuishi na mwanamke aliyezalishwa watoto watatu na anajitambua na kutambua thamani ya ndoa kuliko kuishi na mwanamke uliezaa nae mtoto mmoja au wawili lakini pasua kichwa.
Wanaume hatupendi ujinga!
Pole sana....Mimi nipo ukerewe ndugu
Pole ya nni?Pole sana....