Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Habari JF!
Niende direct kwa maswali ninayotaka kuuliza..
1: Hivi unawezaje wewe mwanaume kumuacha mwanamke wako aliye na mtoto wako then ukaenda kuishi na mwanamke mwingine aliyezaa na jamaa mwingine? Yani na ukaridhika kabisa kuacha mwanao na mama yake na kwenda kwa mwingine, angali ukijua malezi ya baba na mama mtoto anayahitaji.(Sisemei vimada wanaoenda kuvuruga ndoa za watu)
2: Kwanini mwanaume unakuwa mgumu kumsamehe mwanamke wako ukisikia amechepuka angali wewe ndio muozo hatari kwa kuchepuka?
Nimetumia mwanamke/mwanaume kurahisisha si wote wameoa n kuolewa.
Naomba kujuzwa hua inakuaje maana sio expert kwenye mapenzi.
NB: mimi ni mwanaume.