Naomba kuuliza na kushauriwa

Naomba kuuliza na kushauriwa

We shughulikia pass na visa mwenyewe then waambie tayari umekamilisha
Shukrani mkuu yaani passport ya kusafiria ninayo tayar. kinachonitatiza ni hii VISA tu. maana majamaa wamenisainisha mpaka mikataba ya ajira.
for sure am totally confused na nipo dilemma na hii situation
 
Hapo unaibiwa. Yani ww ndo uwatumie pesa???? UNaliwa
Oky nime waelewa ila nataka kujua taratibu za VISA huwa zipoje...?
Shukrani mkuu yaani passport ya kusafiria ninayo tayar. kinachonitatiza ni hii VISA tu. maana majamaa wamenisainisha mpaka mikataba ya ajira.
for sure am totally confused na nipo dilemma na hii situation
Mkuu kuna ushauri umekwishapewa humu tayari.

Tengeneza authentication table la maswali halafu uwapatie walijaze, lazima utagundua ukweli.

Kwa mfano, hizo gharama za visa waeleze unashughulikiwa na kugharamiwa na babako mzazi, kama ni matapeli utaona watakavyojibaraguza!

Kama kuna masharti ya kukulazimisha kutuma pesa badala ya kukuelekeza vitu unavyostahili kuvitimiza kabla ya kwenda huko, elewa ni majizi ya mchana kweupe.
 
Dogo changamkia fursa. Uza shamba au hata nyumba utume pesa London
Bahati hii huipati tena
 
Hoja yangu hapa nikwamba bahati mbaya sina VISA ya kusafiria na kukaa hapo london. Sasa wameniambia kuwa niwatumie pesa ya visa kwa kutumia mtandao wa "money gram" au western union kiasi cha shilingi 800GBP sawa na 2.3millions.pesa hiyo niwatumie watu wa immigration huko london sasa je kwa uzoefu wako hapa hakuna dalili za kutapeliwa na kama sio kutapeliwa je gharama za VISA huwa ni shilingi ngapi kwa makadirio..?
Kaa mbali.
Hakuna utaratibu wa ajira nje ya nchi kama huo, wa kutuma fedha.

Jenini ilitakiwa kifanyike.
Ilitakiwa wakutumie documents, ambazo wewe ungezitumia hapa nchini kuombea hati ya kusafiria kwenda nchi husika.

Taratibu ziko wazi soma kwenye hii thread
 
Shukrani mkuu yaani passport ya kusafiria ninayo tayar. kinachonitatiza ni hii VISA tu. maana majamaa wamenisainisha mpaka mikataba ya ajira.
for sure am totally confused na nipo dilemma na hii situation
[emoji23][emoji23][emoji23]!.....unakuwa dilemma na situation ya kupigwa??!....Sina uhakika kama utapona wewe!!
 
Sio lazima kwenda huko maana mkataba hausemi hivyo. 100% unaliwa
 
Mkuu nenda ofisi za uhamiaji dar pale sinza kama sikosei utapata utaratibu tena ukiwa smart haichukui mda na sio kwa gharama hiyo. Jiongeze
 
Sio wezi hao kweli?? Kama wana nia ya kwel kwanini wasikufanyie huo mpango halafu wakukate kwenye mshahara wako ili wakuondolee hofu ya kutapeliwa!
 
Hivi kumbe bado tz kuna wajinga kama huyu jamaa?
We jamaa unatia aibu sana.
Huo wizi wa miaka mingi sana
 
Jiandae kupigwa hiyo hela. Waambie wakukate kwenye mshahara wa mwezi wa kwanza. Au nenda kaombe visa ubalozi wa Uingereza pale Umoja House.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]!.....unakuwa dilemma na situation ya kupigwa??!....Sina uhakika kama utapona wewe!!
Unajua ukiwa frustrated na suala la ajira unakuwa kama bwege. Kila unaloambiwa unaona kama fursa itakuponyoka. Hapa anaweza ona kama wanaomshauri wanataka kumwekea kauzibe. Huyu atapigwa soon.
 
Oky now i understand the situation. kama mnavyosema hata mim nilihisi kuna dalili za kuibiwa thus why nimelileta humu ili kupata ushauri.
ahsanteni Sana....!!
 
Mkuu nenda ofisi za uhamiaji dar pale sinza kama sikosei utapata utaratibu tena ukiwa smart haichukui mda na sio kwa gharama hiyo. Jiongeze
shukrani nimeelewa kuwa yaweza wakawa ni wezi wa mitandao
 
Uko chuo ulienda kusomea ujinga au , yan mtego mdogo kama huu unataka kunasa, mkuu una undugu na yule wa gpa ya 32


Am sory
 
Back
Top Bottom