Naomba kuuliza na kushauriwa

Naomba kuuliza na kushauriwa

walipaswa wakutumie visa invitation letter ili wewe uende ukaombe visa mwenyewe ubalozini
 
Pole sana... utaibiwa sasa hivi...

Ajira yoyote ya nje ya nchi, kampuni husika ndiyo inayopaswa kulipia gharama zako zote bila wewe kutoa hata mbuni...

Kuanzia flight yako including VISA, Working Permit yako, Residence Permit yako, accommodation yako (Housing), na hata security yako ni juu yao... kasoro chakula utakua unajinunulia mwenyewe...


Cc: mahondaw
 
Kitendo cha kuja kuuliza tu ni dalili kuwa wameshakuibia akili zako, now hakikisha hawakuibii na pesa. Waambie wakugharamie afu watakukata kwenye mshahara.
 
Back
Top Bottom