Goodluck Boaz
Member
- Feb 26, 2020
- 84
- 88
Nakazia hoja: Kama Tangazo linaelekeza Barua zipitie kwa HR. basi atatuma kwa mkuu wa Chuo (kama ulivyo sema )lakini kupitia kwa i.e. Ufs Afisa Utumishi kwa wale waajiriwa esp. Kwa watumishi Halmashauri.Soma tangazo la kazi. Normally ni mkuu wa hicho chuo, mf. vice chancellor, principal, rector, etc.
Niliwahi kukosa kazi Veta kwa sababu ya ujinga wa kuandika Address ya mtu asiyehusikaNakazia hoja: Kama Tangazo linaelekeza Barua zipitie kwa HR. basi atatuma kwa mkuu wa Chuo (kama ulivyo sema )lakini kupitia kwa i.e. Ufs Afisa Utumishi
Ni KWELI kabisa. Unapoandika Ufs manake unampa nafasi ya kukoment chochote juu ya Ombi lako. Koment ya huyo Ufs ni siri au anaweza kuandika kitu kitakacho zuia usikubaliwe ombi lako.Niliwahi kukosa kazi Veta kwa sababu ya ujinga wa kuandika Address ya mtu asiyehusika
Umeelewa ulichoandika?Kama Tangazo linaelekeza Barua zipitie kwa HR. basi atatuma kwa mkuu wa Chuo
Ndiyo. Kwani ww hukunielewa?Umeelewa ulichoandika?
Sasa kama Tangazo linasema barua iende kwa HR, unaandikaje iende kwa mkuu wa Chuo?Ndiyo. Kwani ww hukunielewa?
Hebu nyoosha maneno. Tangazo linasema barua iende kwa HR au tangazo linasema barua ipitie kwa HR?Sasa kama Tangazo linasema barua iende kwa HR, unaandikaje iende kwa mkuu wa Chuo?
Sasa kama haya maelezo yako, mkuu anatoka wapi?Hebu nyoosha maneno. Tangazo linasema barua iende kwa HR au tangazo linasema barua ipitie kwa HR?
Kama tangazo linasema iende kwa HR manake HR maana yake HR ndo muamuzi - nani aende/apate na nani asipate
Kama tangazo linasema ipitie kwa HR ina maana HR ni Mshauri anayetoa mapendekezo. Mapendekezo yake yanaweza kuzingatiwa au kutupiliwa mbali.
(Hilo Tangazo mm sikuliona ila huo ndo Utaratibu wa Ofisi za Serikali).
Mleta mada ameomba kuuliza ni kipi kilicho sahihi katika kuandika barua ya kuomba nafasi huko Chuoni. Sasa kama muombaji ni Mtumishi katika Ofisi ya Serikali e.g. Halmashauri, ni lazima Barua yake ya maombi ipitie kwa HR.wa Halmashauri husika. Vinginevyo anaweza kujikuta kufukuzwa chuo kwa makosa ya utoro kazini.Sasa kama haya maelezo yako, mkuu anatoka wapi?
Anyway, yote n majibu, ila mto mada ndio ana majibu yote mana kwenye tangazo lazima kuwe na address pa kupeleka hayo maombiMleta mada ameomba kuuliza ni kipi kilicho sahihi katika kuandika barua ya kuomba nafasi huko Chuoni. Sasa kama muombaji ni Mtumishi katika Ofisi ya Serikali e.g. Halmashauri, ni lazima Barua yake ya maombi ipitie kwa HR.wa Halmashauri husika. Vinginevyo anaweza kujikuta kufukuzwa chuo kwa makosa ya utoro kazini.
Kama ni mtu binafsi (private candidate), basi anapeleka maombi yake direct kwa Pricipal wa chuo japokuwa barua hiyo kiuhalisia itamfikia HR wa chuo ili ishughulikiwe/kwa ufuatiliaji.
Exactly yes. Pia hata utaratibu wa kufuatwa katika kuomba.Anyway, yote n majibu, ila mto mada ndio ana majibu yote mana kwenye tangazo lazima kuwe na address pa kupeleka hayo maombi