duet
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 534
- 149
Mimi tangu nilipoangalia kwa umakini vyeti vyangu na kuona maneno THIS IS TO CERTIFY THAT......... huwa sipeleki kwa mahakimu tena.Mimi hapa Mahakama ya mwanzo Buguruni walikula hela yangu lkn na washikaji zangu tukiomba wote hawajaenda kule bado wakaitwa usaili.
Kucertify vyeti kwa mihuri ya mahakimu kwangu ni km hanasa.
This is to CERTIFY THAT.... malizia uone kama inamaanisha mtu au cheti.