naomba kusidiwa

nzedanze

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
44
Reaction score
1
Hiv nn maana ya ku PM mm ni mgeni hapa jamvini tafadhari sana mwenye kunisaidia anisaidie
 
Hiv nn maana ya ku PM mm ni mgeni hapa jamvini tafadhari sana mwenye kunisaidia anisaidie
Mkuu! Jitahidi kuandika kiswahili vizuri, epuka vifupisho visivyo vya lazima itendee haki lugha yetu adhim. Tuanze sasa...!!
 
PM- Private Message, njia ya kuwasiliana na wanachama wengine!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…