Naomba kushare wimbo wangu mpya wa "No Reforms, No Election"!

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,510
Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".

Ni ruhusa kuutumia wimbo huu mahali popote bila kuhitaji ruhusa yangu ya ziada wala kulipa gharama zozote.

Kama umeupenda wimbo huu, share kwa wengine zaidi wapate kuusikia.

LYRICS:
[Verse]
The streets are speaking loud and clear
No reforms we won't appear
The people's power is our might
We won't give up without a fight

[Chorus]
No reforms no election
We demand a true direction
Tanzania rise and take a stand
Rebuild the future with our hands

[Verse 2]
Promises broken like the waves
We won't be fooled we won't behave
The time is now to make it right
Our voices roaring through the night

[Chorus]
No reforms no election
We demand a true direction
Tanzania rise and take a stand
Rebuild the future with our hands

[Bridge]
No more lies no more games
We call for justice not the same
Let the leaders hear our cry
We’ll keep pushing till we fly

[Verse 3]
The youth are rising hearts ablaze
In every corner in every place
From the mountains to the shore
We won't settle we want more
 
Attachments

Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".

Ni ruhusa kuutumia wimbo huu mahali popote bila kuhitaji ruhusa yangu ya ziada wala kulipa gharama zozote.

Kama umeupenda wimbo huu, share kwa wengine zaidi wapate kuusikia.
Hongera, ni matumizi sahihi ya teknolojia. No kuingia studio, no kuingiza vocal, na kuandika...just prompt.
Nadhani ungetengeneza za maudhui ya reggae pia itabamba zaidi, maana kwenye harakati za ukombozi na madailiko ya kisiasa na kijamii reggae ndiyo mahali pake.
 
Watu wako serious sana,hapo CCM wanataka uchaguzi ufanyike fasta,halafu wamuapishe mtu wao haraka,halafu waanze kusema tusameheane,tujenge nchi,Lissu hana HATIA,then watu watulie nchi iendelee kuliwa na wao tu.
 
Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".

Ni ruhusa kuutumia wimbo huu mahali popote bila kuhitaji ruhusa yangu ya ziada wala kulipa gharama zozote.

Kama umeupenda wimbo huu, share kwa wengine zaidi wapate kuusikia.
Uharo
 
😂😂😂😂
 
Wimbo mzuri sana Mkuu...Hongera sana.

Tunaomba version ya Kiswahili
 
Back
Top Bottom