UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 727
- 2,203
Hiyo ni gari Babu mi ninayo,nimeipigiza vya kutosha na bado natamba,mafuta inakula wastani wa 7 mpaka 8km/l.
Ina uzuri gani gari ina shepu kama chura nyuma?Mkuu nipo mikoani yaani watu wanazipenda ile mbaya,wanadai zinatibika na ni nzuri,kweli mazee?
Samahani boss ,Mshana Jr,hivi kwa kawaida tank la aina hii ya gari ujazo wake full ni lita ngapi na taa ya fuel tank huwaka ikiwa yamebaki mafuta kiasi gani?Yaani lita moja unaweza kutembea kilometres 8 mpaka kumi kutegemeana na hali ya engine na uendeshaji wako
Mtaan wanaita sufuria na una enjoyHaina matege boss ilikuwa ya muhindi,kaitunza sana,toka niichukue nainjoi sana, system ya umeme bado makini sana
si umesema mkoani kwenu inatibika mbona unauliza tena au unajifarijiIkitokea ikawa na matege ni vifaa gani muhimu vya kubadilisha kuondoa hayo matege?
Hiyo standard yake ni lita 60.. Kuanzia kuwaka taa kama gari imekaa level ni km 30 mpaka kuzima kabisaSamahani boss ,Mshana Jr,hivi kwa kawaida tank la aina hii ya gari ujazo wake full ni lita ngapi na taa ya fuel tank huwaka ikiwa yamebaki mafuta kiasi gani?
Kuna mfanyakazi mwenzangu analo hilo gari lkn daily tunatembea nae kwa miguu na kudandia mabajaji akiwasha gari lake ni mara moja kila baada ya wiki mbili. Kisingizio anapunguza kitambi.Na hapo ikiwa mpya kama ishaota yale matege ataikimbia. Gari za hovyo sana zilizopokelewa kwa shangwe na watanganyika.
Lita 60Samahani boss ,Mshana Jr,hivi kwa kawaida tank la aina hii ya gari ujazo wake full ni lita ngapi na taa ya fuel tank huwaka ikiwa yamebaki mafuta kiasi gani?
Mbona hizi gari zimejaa barabarani mkuu?,nipo mwanzaKuna mfanyakazi mwenzangu analo hilo gari lkn daily tunatembea nae kwa miguu na kudandia mabajaji akiwasha gari lake ni mara moja kila baada ya wiki mbili. Kisingizio anapunguza kitambi.
Kwa mfano leo, gari haikuwa na mafuta kabisa dogo.kamliza yooote hata kuwaka haikuweza, nimeagiza lita 8 lakini taa inawaka.Na hii ni L.Ujazo ni 60 Sawa,je taa ya fuel tank huwaka kukiwa kumebaki liter ngapi ndani ya tanker?
Itakuwa below 10 taa itawaka mfululizo, maana asubuhi nimeweka lita 6 tena taa ikakata.Du basi taa huwaka kukiwa kumebaki pengine lita 15,japo siamini hicho kitu