Naomba kusaidiwa kuelewa kuhusu gari aina ya RV4 J old model utumiaji wa mafuta liter per kilometre

Hiyo ni gari Babu mi ninayo,nimeipigiza vya kutosha na bado natamba,mafuta inakula wastani wa 7 mpaka 8km/l.
 
Yaani lita moja unaweza kutembea kilometres 8 mpaka kumi kutegemeana na hali ya engine na uendeshaji wako
Samahani boss ,Mshana Jr,hivi kwa kawaida tank la aina hii ya gari ujazo wake full ni lita ngapi na taa ya fuel tank huwaka ikiwa yamebaki mafuta kiasi gani?
 
Samahani boss ,Mshana Jr,hivi kwa kawaida tank la aina hii ya gari ujazo wake full ni lita ngapi na taa ya fuel tank huwaka ikiwa yamebaki mafuta kiasi gani?
Hiyo standard yake ni lita 60.. Kuanzia kuwaka taa kama gari imekaa level ni km 30 mpaka kuzima kabisa
 
Kuna mfanyakazi mwenzangu analo hilo gari lkn daily tunatembea nae kwa miguu na kudandia mabajaji akiwasha gari lake ni mara moja kila baada ya wiki mbili. Kisingizio anapunguza kitambi.
Mbona hizi gari zimejaa barabarani mkuu?,nipo mwanza
 
Hiyo standard yake ni lita 60.. Kuanzia kuwaka taa kama gari imekaa level ni km 30 mpaka kuzima kabisa
Which means indicates roughly 3 liters remains into tank or more than that?, sorry!, answer please,Mshana Jr
 
Ujazo ni 60 Sawa,je taa ya fuel tank huwaka kukiwa kumebaki liter ngapi ndani ya tanker?
Kwa mfano leo, gari haikuwa na mafuta kabisa dogo.kamliza yooote hata kuwaka haikuweza, nimeagiza lita 8 lakini taa inawaka.Na hii ni L.
 
Kwa mfano leo, gari haikuwa na mafuta kabisa dogo.kamliza yooote hata kuwaka haikuweza, nimeagiza lita 8 lakini taa inawaka.Na hii ni L.
Du basi taa huwaka kukiwa kumebaki pengine lita 15,japo siamini hicho kitu
 
Itakuwa below 10 taa itawaka mfululizo, maana asubuhi nimeweka lita 6 tena taa ikakata.
Nafikiri manufacturer walifanya hivyo kulinda mfumo wa mafuta,ikiwa na maana pump isivute uchafu kdhalika tank dhidi ya kutu,niko sawa?
 
Back
Top Bottom