Naomba kurogwa

Naomba kurogwa

Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Urogwe una nini cha kuwafaidisha warogaji??
 
Unahitaji Kulogwa ili Uwe Chizi, Kisoke, Usifanikiwe kimaisha au kibiashara, Uteswe kwa kuugua mpaka Ufe, Utiwe mkosi usioe wala kuolewa....? Unahitaji sample ipi watu waanze kazi
 
hahaha mi nadhani ili,uondolew badilisha ombi.omba mtu akutoe kafaraaaa nadhan hyo lada wataalam wanafaham
 
Kajifunze dhana nzima ya uchawi na ushirikina kabla hujaja na pumba zako hizi...unachokifanya ni sawa na kuomba NECTA ikupe majibu ya mtihani waliotunga
 
Mkuu ungekuwa mchawi,ungeshajua majina yake.

That is not to say,uniloge,lol.
Msichanganye teknelogia 2tofauti ya kisasa na ile ancient. Unaongea humu kwa sababu wale wanahitaji physical identity na si hii ya Kielektroniki. Kama kweli unawapa jaribio wafuate kiuharisia
 
Haya mambo ya uchawi/kurogwa nashangaa watu wanayaamini kiasi hiki. Hivi unashindwa kugundua kuwa "hofu" tu ndiyo inawafanya muamini huu upuuzi?

Hakuna uchawi wala kurogwa. Mambo mengi tunayoshindwa kuyaelezea tunakimbilia kusema uchawi/kurogwa.

Na vile haya mambo unakuta yanaaminiwa kwenye family basi unakuwa hivyo hivyo ukiamini uchawi unatenda kazi kumbe ujinga mtupu. Chunguza, acha woga, ishi huru, mambo mengi watu wanapotosha tu.

Bongo zetu zinanguzu kubwa zaidi ya hizo porojo za uchawi. Acheni kuendekeza social assumptions zakilofa wakuu
 
JE UNATAKA KUWAONA WACHAWI USIKU?

Kuna siku niliwaahidi kuwa nitawaelekeza namna ya kuwaona wachawi, nayo ni kufanya kama ifuatavyo:

~chukua mafuta ya zaituni (olive oil).
~yasomee maneno haya;
"WAMAKARUU WAMAKARALLAHU WALLAHU KHAYRU LMAAKIRIN"
~Kisha yapulize mara saba.
~yatikise kidogo.
~sema "ewe mwenyezi mungu, hakika hakuna mchawi yeyote anayeweza kuyasogelea mafuta haya, nami naomba uyatie nguvu nimkamate mchawi".
~yamwagie katika milango yote ya nyumba yako halafu lala.

hakikisha akinasa usimguse iwapo huna udhu, tumia mafuta ya zaituni kujikinga na shari zao.

Uchawi.jpg
 
Unahitaji Kulogwa ili Uwe Chizi, Kisoke, Usifanikiwe kimaisha au kibiashara, Uteswe kwa kuugua mpaka Ufe, Utiwe mkosi usioe wala kuolewa....? Unahitaji sample ipi watu waanze kazi
Vyovyote tu mkuu, niteswe niugue hadi kufa, niwe kichaa nianze kutembea uchi na kubeba makopo na kulala jalalani au vinginevyo vyote utakavyoona inakufaa ndugu mchawi.
 
hahaha mi nadhani ili,uondolew badilisha ombi.omba mtu akutoe kafaraaaa nadhan hyo lada wataalam wanafaham
Hata hilo nimeliruhusu mkuu, nimeruhusu nitolewe kafara au nichukuliwe msukule, vyote hivyo ni ruksa kwa mchawi.
 
mi ni mtaalam hayo majin si yako na mama yako haitwi ester please usitujaribu ndugu
Hahaha, basi kama hayo majina sio yangu basi wewe niambie majina yangu ni yapi, kama mama angu haitwi Ester niambie jina lake ni lipi, btw, kama unakataa hayo sio majina yangu halisi maana yake majina yangu halisi unayajua, basi kwa moyo wa unyenyekevu na moyo wa kupondeka kabisa nakuomba uniroge kipngozi.
 
Jamani uchawi upo na watu wanarogwa ila kama hayajakukuta utajiona mjanja,mpaka Biblia inazungumzia uchawi,tamba sana ila siku ukipatikana utakuja Jf kuomba ushauri,hebu sikiliza Redio free kesho Jpili kuna kipindi cha sitosahau kinarushwa kuna jamaa anasimulia makubwa ya uchawi mda ni saa 4 asubuhi
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Duuh kweli maisha magumu watu wamedatuka mpk wanaomba kulogwa? baba jeska legeza kidogo mshkaji wangu...
 
Jamani uchawi upo na watu wanarogwa ila kama hayajakukuta utajiona mjanja,mpaka Biblia inazungumzia uchawi,tamba sana ila siku ukipatikana utakuja Jf kuomba ushauri,hebu sikiliza Redio free kesho Jpili kuna kipindi cha sitosahau kinarushwa kuna jamaa anasimulia makubwa ya uchawi mda ni saa 4 asubuhi
Mwambie aniunganishe kwa hayo makundi ya wachawi waniroge.
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Ebu nitumie fingerprints za mikono yote miwili na vidole viwili vya kati miguu yote miwili na alama za kisigino cha kushoto.....fanya fasta kijana nimalizie mchezo kila kitu tayari.
 
Ngoja nikuroge nenda kanywe dawa ya panya hafu lala ukiamkA utanipa jibu
 
Back
Top Bottom