Naomba kurogwa

Haya ni majina yako kamili au unetumia majina ya MTU mwingne.?
d70b7bf5636746882cca5484f166f339.jpg

Naomba ulete mrejesho baada ya week moja
Mkuu ungesema pia unampiga kirogo gani.. Unampa kipapai au unamfanya chuma ulete wako?
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Unahitaji kutibiwa Head trauma, muda mwengine mshahara ukiwa mdogo uwezo wa kufikiri hupungua.
 
Usirudie kusema uchawi haupo, muombe mola wako yasisikute.
Uchawi mbaya zaidi afrika ni ule uchawi unaopatikana afrika ya magharibi ambao umetawala sana nchi ya Nigeria, Ghana, kameruni n.k
Ila uchawi wenye kuogopwa kwa afrika ya mashariki unapatikana mpakani malawi na Tanzania.

Ndugu yangu amini usiamini uchawi upo na mimi nimesha ushuhudia kule kwetu moshi.

Siku nyingine usirudie kusema mambo kama hayo. Omba yasikukute.
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Una nini mpaka urogwe? Wenye fani wanajua dua la kuku halimpati mwewe.
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
 
Kwani kakuambia yeye ni mchawi.

Yy anataka majina ayapeleke kwa mganga halafu uone kitakachotokea
nishatoa majina tayari kiongozi, kazi kwao. Nilitegemea hadi sasa niwe siandiki hapa nashangaa, uchawi haupo kwa kweli.
 
Nenda Kwamsisi ya Mkata Handeni ukatukane wazee wa pale kijijini, maombi yako yatashughulikiwa.
Nishatukana na kuwapiga wazee wengi tu kuanzia shinyanga huko simiyu,tabora,sumbawanga, bagamoyo na nikawapa go ahead ya kuniroga bado sijarogeka hadi sasa. wewe kama unamjua mzee mchawi mwambie aniroge.
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
tuma hapa jina lako na mama yako tukushughulikie uamini//
 
Kalale na. Mke wa mtu unate utakuwa umelogwa tayari
Soma post zangu ziko humu nyingi nikileta mrejesho wa wake za watu naowatafuna kila uchao na hakuna kitu kama hicho. Kama unadhani unadhani natania kamuwekee dawa ya kunasana mkeo kisha uniletee nimtafune akuache na dawa yako.

Uchawi haupo duniani.
 
tuma hapa jina lako na mama yako tukushughulikie uamini//
Soma post za mwanzo mwanzo kuna mwenzako ameomba nimempa majina yote ya ukoo.

Alafu kama wewe ni mchawi kw nini utake majina yangu, unatakiwa kua tayari unayajua, lakini nimewarahisishia kazi nimewapa details zote za muhim zinazonihusu, kazi kwenu wakubwa.
 
Looh! Hivi mtu na elimu yake kweli huamini uchawi?

Je ukilogwa utafaidika nanini au ndiyo uwe na sababu ya kulaumu watu katika maisha yao?

[HASHTAG]#Pole[/HASHTAG] sana.naanza kuamini kusoma sana hakumfanyi mtu kuishi kistarabu na mwenye kujuwa yeye ni nani na yupo duniani kwa sababu zipi.

Sitaki maswali.
 
Kuna siku nilikuwa nasafiri kwa hizi Noah jamaa mmoja akawa ameketi siti ya mbele ambapo anakuwa na dereva pekee akatokea mama wa kiman'gati kabeba mtoto kama wa mwaka 1 akamwomba yule kaka ampishe kwenye ile siti kwa viile ana mtoto siti nyingine zinakuwa zimebana sana jamaa akakata wakabishana sana na yule mama basi yule mama akasogea pembeni akawa kama ameinama baada ya dakika 5 yule jamaa akashuka kwenye gari akaanza kuvua nguo moja baada ya moja hadi kubaki uchi abiria wakashuka nankuanza kukimbia mmojawapo mie nikaahirisha kabisa safari. Jamani huo ni uchawi au mazingaombwe maana sikuelewa kilichotokea nasikia baadae yule bwana akili zilimrudi alisikitika na kutaka kujua nini kilimtokea naye hakusafiri tena siku hiyo
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Kwa maneno tu hutoweza kurogwa hivyo nenda sehemu zenye uchawi kama ni wewe ni dume ukatembee na mke wa mtu au kama ni wewe ni jike ukatembee na mume wamtu

utarogwa na kurogeka. Tembelea Sumbawanga,Bagamoyo,Kilwa,pemba, handeni, Tabora,kigoma na pangani kisha useme hayo maneno mtaani sio usema hapa kwenye

Jukwaa hakuna mtu atakaye kuroga au toa jina lako kamili jinalako jina la baba yako na jina la mama yako na toa picha weka jukwaani kishawatake watu wakuroge unaweza

kumpata mtu wa kukuroga akakuroga unasemaje? jaribu kufanya hivyo nilivyo kwambia. Hebu angali video jamaa amekumbwa na Jini....

Back
Top Bottom