Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,073
- 136,479
Nyani Ngabu naomba yafuatayo toka kwako:
Kama ww ni mwanaume(naamini wew ni Me).
Naomba majina yako mawili ba jina la ukoo wa babu yako
Oh please...you ain't gonna do shit.
Nyani Ngabu naomba yafuatayo toka kwako:
Kama ww ni mwanaume(naamini wew ni Me).
Naomba majina yako mawili ba jina la ukoo wa babu yako
hauchomoki mkuu ngoja kazi inaanza hahahaMkuu kwa heshima na taadhima niroge utakavyo, hii ofa iwahi mkuu.
Mkuu ntashukuru sana.hauchomoki mkuu ngoja kazi inaanza hahaha
Dada Rebecca mi nijuavyo uchawi haufanyi kazi hivyo ni sawa na kumwambia muuaji wa siri akuue hadharaniMtu mzito,mshanajr,
naomba huyu bwana awe case study kwetu lol
tuambieni yuko wapi?,anafanya nini? na nani wachawi wake?LOL
kweli mkithibitisha na yeye akakubali,mtapata wafuasi wengi,lol,
Kalale na. Mke wa mtu unate utakuwa umelogwa tayariNaomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.
Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.
Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.
Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Unanifurahisha sana mkuu yaan hata ukilia utaandika lol.....lolMtu mzito,mshanajr,
naomba huyu bwana awe case study kwetu lol
tuambieni yuko wapi?,anafanya nini? na nani wachawi wake?LOL
kweli mkithibitisha na yeye akakubali,mtapata wafuasi wengi,lol,
kama yeye ni mchawi kwanini atake majina hayo kwako kwanini asikutajie majina yako na majina ya mamakoHaya ndo magirini wayatumiayo hao sijui ndo wachawi.
Eti lete majina yako halisi na la mama yako.....uzushi mtupu.
Nabii suleiman alikuwa ni muisraeli na uchawi ulienea sana wakati wa utawala wake ingawa haikua kosa lake.Nimegundua hapana uchawi juu ya Israel.
Kwani kakuambia yeye ni mchawi.Mkuu ungekuwa mchawi,ungeshajua majina yake.
That is not to say,uniloge,lol.
Mbona naona umesharogwa tayari. ..Naitwa John Nyambega Maki.
Haya kazi kwako. ukitaka na mengine kama umri nakupa, nina miaka 28 januari 31 natimiza 29, ni mfanyakazi wa shirika la serikali,mama anaitwa Ester. Tuko watano kwetu,two ladies 3 gents.
Mengine sasa utayajua mwenyewe maana majini yako yatakwqmbia kila kitu ingawa nimeyasaidia /nimeyarahisishia kazi maan yalitakiwa kukuambia kila kitu bila hata mm kukuambia