KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Sa inakuaje huyajui afu uwe na uwezo wa kuroga!Njoo pm nitumie majina yako halisi matatu na la mama yako ikishindikana siingii jf tena
Acha kusema hivyo hayajakukuta ya dunia
Chezea babu ww
Mi wakati najenga nyumba kuna mzee aliniambie aje aizindike nikamwambia huwa sina imani na mazindiko.
Mpaka leo hakuna kilichotokea.