Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,081
- 6,086
hahaha wasubir mkuu,ukifanikiwa kurogwa usisahau kutoa ushuhuda.Hata hilo nimeliruhusu mkuu, nimeruhusu nitolewe kafara au nichukuliwe msukule, vyote hivyo ni ruksa kwa mchawi.
hahaha wasubir mkuu,ukifanikiwa kurogwa usisahau kutoa ushuhuda.Hata hilo nimeliruhusu mkuu, nimeruhusu nitolewe kafara au nichukuliwe msukule, vyote hivyo ni ruksa kwa mchawi.
Mbona kama tayari usharogwa!!!?Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.
Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.
Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.
Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Kote, nje ya jf na humu jf nishatoa hii ofa ya kurogwa bado sijqrogwa, najaribu kukumbushia kua ofa bado iko pale pale.Wachawi wa JF sio wachawi .....ila wachawi wapo nje ya jf
Nikupe principle ya wachawi walivyo ..ukisemw hivyo hawawezi kuthubutu wakifikiri kwamba nawewe ni mchawi mwenzao na una mamlaka ya juu sana ya kichawi so wakijaribu wanaweza kuumia wao ndio maana kwasababu wanajua kwa asili watu wanaogopa wachawi na kulogwa sasa ukiwa we ndio unawaita wanapata taabu sana kukuwekea vikao pabda usiku wa Leo wakikiwa kikaoni anaekujua akawapa jina lako then wakakujadili na ukujadilika tuu umekwisha...kwasababu katika sheria zao na taratibu anaekujua ndio anakutolea taarifa kwenye kamati na vikao vyao vya kichawi usiku.Kote, nje ya jf na humu jf nishatoa hii ofa ya kurogwa bado sijqrogwa, najaribu kukumbushia kua ofa bado iko pale pale.
Mkuu soma post za mwanzo kabisa hizo details nimezitoa zote na za ziada.Nipe jina lako LA mwanzo na la mama yako
Pamoja na tatehe yako ya kuzaliwa
Mkuu nishawapa details zote wakanijadili wanimalize.Nikupe principle ya wachawi walivyo ..ukisemw hivyo hawawezi kuthubutu wakifikiri kwamba nawewe ni mchawi mwenzao na una mamlaka ya juu sana ya kichawi so wakijaribu wanaweza kuumia wao ndio maana kwasababu wanajua kwa asili watu wanaogopa wachawi na kulogwa sasa ukiwa we ndio unawaita wanapata taabu sana kukuwekea vikao pabda usiku wa Leo wakikiwa kikaoni anaekujua akawapa jina lako then wakakujadili na ukujadilika tuu umekwisha...kwasababu katika sheria zao na taratibu anaekujua ndio anakutolea taarifa kwenye kamati na vikao vyao vya kichawi usiku.
Mkuu niombee nirogwe.Kuna mambo nakuwa confused..
Km yapo au hayapo
Anyway
Mkuu ukiroga nipe jibu
Mrogo mema.Mkuu niombee nirogwe.
Jaribu mkuu. Mtumie majina tuone sbb ni dhana ya kufikirika tu wala usiogopeHaya ndo magirini wayatumiayo hao sijui ndo wachawi.
Eti lete majina yako halisi na la mama yako.....uzushi mtupu.
Mkuu mimi nimetoa majina yote post za ukurasa wa kwanza, unaweza kupitia mkuu ukanifanyia mambo haraka.Jaribu mkuu. Mtumie majina tuone sbb ni dhana ya kufikirika tu wala usiogope